Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 May 13, 2013 Thread starter #21 Suip said: Unannounce maanake bado kutangazwa au kutoka.Ila inafaa kama specification ni ya kweli hasa internal memory ya 4GB Click to expand... imeshatoka kaka nimeiona town, sema bado hazipo nyingi
Suip said: Unannounce maanake bado kutangazwa au kutoka.Ila inafaa kama specification ni ya kweli hasa internal memory ya 4GB Click to expand... imeshatoka kaka nimeiona town, sema bado hazipo nyingi
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 May 13, 2013 Thread starter #22 Fabian the Jr said: twambie mkuu iyo yako ina doc viewer na pdf reader? Bei yake n ngapi na inapatkana wapi? Click to expand... doc viewer ipo kama unavyoona kwenye specifications zake, kuhusu pdf reader sina uhakika ila nadhani sababu ni android unaweza ukanunua kwenye market
Fabian the Jr said: twambie mkuu iyo yako ina doc viewer na pdf reader? Bei yake n ngapi na inapatkana wapi? Click to expand... doc viewer ipo kama unavyoona kwenye specifications zake, kuhusu pdf reader sina uhakika ila nadhani sababu ni android unaweza ukanunua kwenye market
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 May 13, 2013 Thread starter #23 dav22 said: hawa wachina cjawahi wakubali.....ngoja niendelee kudunda na samsung yangu na jf android app Click to expand... unavyosema mchina unamaanisha nini maana kuna smartphones nyingi zenye majina makubwa zinatoka chinamfano mzuri ni htc, kuhusu jf app for android hata huku unaweza ipata
dav22 said: hawa wachina cjawahi wakubali.....ngoja niendelee kudunda na samsung yangu na jf android app Click to expand... unavyosema mchina unamaanisha nini maana kuna smartphones nyingi zenye majina makubwa zinatoka chinamfano mzuri ni htc, kuhusu jf app for android hata huku unaweza ipata
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,457 Reaction score 5,322 May 13, 2013 #24 Hawa Tecno walete tablet bana..najua itakuwa poa sana...