J JEMEDARI .H. JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 341 Reaction score 63 Sep 20, 2013 #1 Wakuu naomba kufahamu bei ya tecno phantom A2 na nijue kama n line moja au mbili
meeku89 Senior Member Joined Apr 21, 2013 Posts 113 Reaction score 19 Sep 20, 2013 #2 Mtaacha lini nunua simu za kichina?
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Sep 21, 2013 #3 meeku89 said: Mtaacha lini nunua simu za kichina? Click to expand... mchina atakapoacha kuzitengeneza
meeku89 said: Mtaacha lini nunua simu za kichina? Click to expand... mchina atakapoacha kuzitengeneza
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,758 Reaction score 42,874 Sep 21, 2013 #4 meeku89 said: Mtaacha lini nunua simu za kichina? Click to expand... Sikuhizi hatuangalii hii simu ya mchina au mzaramo. Cha msingi ni uwezo wake wa kupiga kazi wa wapi wewe!!!
meeku89 said: Mtaacha lini nunua simu za kichina? Click to expand... Sikuhizi hatuangalii hii simu ya mchina au mzaramo. Cha msingi ni uwezo wake wa kupiga kazi wa wapi wewe!!!
M mompome Senior Member Joined Mar 28, 2012 Posts 145 Reaction score 40 Sep 21, 2013 #5 meeku89 said: Mtaacha lini nunua simu za kichina? Click to expand... mbona hata apple wana kiwanda china?
meeku89 said: Mtaacha lini nunua simu za kichina? Click to expand... mbona hata apple wana kiwanda china?