Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,114 Nov 9, 2018 #21 Hi kampuni Mimi niliama juzi tu pole #teamtecno
grand casual JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 255 Reaction score 161 Nov 9, 2018 #22 Hayo Matakataka yanasumbua sana, mke wangu anayo kila siku tunamrudishia dealer matatizo hayaishi! shida kama hiyo walituambia ni charge system imekufa wakarekebisha wenyewe!
Hayo Matakataka yanasumbua sana, mke wangu anayo kila siku tunamrudishia dealer matatizo hayaishi! shida kama hiyo walituambia ni charge system imekufa wakarekebisha wenyewe!