Tecno p5

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Natumia tecno p3 sasa nataka kuhamia kwenye p5 je kwa dar ni bei gani au kuna toleo la 5 ambalo ni best zaidi ya p5
 
chukua M5 ni nzuri zaidi ya s5 ina 1.3 ghz procss, 1gb ram,8 megapixel camera ipo powa sana bei yake 250000
 
yeah hii m5 ni kiboko sana. mie ninazo boxed , zimo ndani ya box hazijafunguliwa kwa laki 2 na 20 tu.
na nina tecno phantom pad P9, 16Gb ROM, 1GB RAM, STANDBY TIME UP TO 450 HRS KWA LAKI TATU NA 20 TU.
 
naomba details zaidi ya hii p9 pad tafadhali
 
yeah hii m5 ni kiboko sana. mie ninazo boxed , zimo ndani ya box hazijafunguliwa kwa laki 2 na 20 tu.
na nina tecno phantom pad P9, 16Gb ROM, 1GB RAM, STANDBY TIME UP TO 450 HRS KWA LAKI TATU NA 20 TU.

Uko wapi
na je? warrant VP?
 
kaka nipe # yako ni txt kwa # hii 0769 01 22 51

yeah hii m5 ni kiboko sana. mie ninazo boxed , zimo ndani ya box hazijafunguliwa kwa laki 2 na 20 tu.
na nina tecno phantom pad P9, 16Gb ROM, 1GB RAM, STANDBY TIME UP TO 450 HRS KWA LAKI TATU NA 20 TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ