android iko slow naomba msaada kwa anayeweza nisaidia kuinusuru P5 yaaaaani!
Hakuna aunt virus ambayo inafanya kazi
Kiukweli katika sim huwa zina kaa kama
Pambo tuu
As a general rule, usitumie simu bila ya kuwa na Antivirus. Ziko nyingi ambazo no free
- Mfano wa antivirus nzuli ni hii hapa: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...norton-mobile-security-lite-3-8-0-1196-a.html