ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,007
Wakubwa salam.
Nina android tecno p5, nikidownload attachment zinadownload vizuri kabisa ila nikisema nizifungue, zinagoma, inanijibu "cant open the file'. Imekosa application gan ili niitafte na kuiweka niweze soma att?
Nimeshindwa kusoma wosia wa mandela na attachments kibao za jf.
Nawashukuru