Sababu nyepesi sana hiyo kama mmiliki akiwa mnigeria haruhusiwi kuuza bidhaa zake nje ya bara lake? [emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️
lazima uisifie tecno maana hujawahi kumiliki simu tofauti na tecno, miaka 5 ukitumia tecno utakuwa umefunga ndoa kabisa kwa hiyo endelea kuisifia maana huna namna nyingine.