TECNO NI SIMU BOMBA KABISA

Elimubomba

Senior Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
111
Reaction score
47
Wale wanaoibeza na kusema Tecno sio simu nzuri nafikiri hawazijui.

Kwa mwaka wa tano sasa natumia TECNO sijaona tatizo lolote. Kazi zinapiga fresh. Design, na mengine kibao
 
Tecno sio simu.
Tecno ni calculator ya kuuzia nyanya..

Povu ruksa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umekurupuka wapi sijui, toa hoja kwa sababu, sio ubishi wa vijiweni kuwa mwenye sauti kubwa ndio anashinda
 
Hiyo ni tochi yenye simu, kwa nini iwepo zaidi Afrika kama ni simu bora?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umekurupuka wapi sijui, toa hoja kwa sababu, sio ubishi wa vijiweni kuwa mwenye sauti kubwa ndio anashinda
Hakuna hoja hapa.
Ubovu wa tecno tulishajadili sana humu kama hukuona threads tafuta zipo humu.
Kwanza wanatumia chipset za ubora wa chini ambazo ni MediaTek (MTK). Huwezi kulinganisha na chipset za simu zingine kama Samsung na IPhone
 
Mtu mwenye Iphone X akiiuza hela atakayo ipata anauwezo wa kufungua duka la simu za Tecno..

Hata house girl wa nyumbani anakuambia kabisa bora aache kazi kuliko atumia tecno...
Hiyo sio hoja, mbona kuna iphone zinauzwa laki nne na kuna tecno zinauzwa laki 8, hiyo bei , tu.

Bado TECNO ipo juu
 
Kwaiyo na sisi sio binadam kwa sababu tupo africa?
 
Hela yangu Kuliko Ninunulie Tecno Bora Nile Mandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ