Tecno n70 na Tecno n3...

Tecno n70 na Tecno n3...

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Habari wana JF?? Naomba kujua bei na uwezo wa hizi simu.Nawasilisha.
 
​kama unataka kununua pata kitu tecno f7 au f8 bei karibu 400,000/
 
​kama unataka kununua pata kitu tecno f7 au f8 bei karibu 400,000/
Ndio nataka kununua ila hiyo hela ndefu sana....mi nilikuwa nataka kujua bei za Tecno n70 au n3....
 
nitafute nauza laki mbili bado mpya haina scratch utaipata kwenye box.
mzigo in piga ndio natumia kama moderm (techno 7)
 
Back
Top Bottom