Tecno n2

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Wakuu,habari zenu,kuna mdogo wangu ameifanyia hard reset Simu yake Tecno n2 ambayo amenunua tigo shop sasa baada ya kufunguka na kufuata hatua zote ili aweze kuitumia amekwamia njiani inaseach kwenye WiFi kama picha zinavyonyesha
 
Hiyo next haionekani sawasawa nikiwa na maana huwezi kuibonyeza ili ikupeleke hatua nyingine.
 
Aunganishe kwenye Wi-Fi au mobile data atabofya next baada ya kuwa connected, aingize email na password iliyokuwa inatumika kwenye hiyo simu.
Kama atajaza taarifa sahihi itafunguka.
 
Amefanikiwa kwa kuingiza gmail na password
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…