J JBK Member Joined Aug 17, 2012 Posts 68 Reaction score 13 Mar 21, 2015 #1 jamani habari za muda huu ndugu zangu.....Nina tatizo nina simu yangu ya tecno m 3 imekataa kuwaka tangu jana inawaka lakini inaishia kutoa jina LA tecno tu.....pasipo kuwaka kabisa tafadhari naombeni msaada wenu kwa hilo......
jamani habari za muda huu ndugu zangu.....Nina tatizo nina simu yangu ya tecno m 3 imekataa kuwaka tangu jana inawaka lakini inaishia kutoa jina LA tecno tu.....pasipo kuwaka kabisa tafadhari naombeni msaada wenu kwa hilo......
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Mar 21, 2015 #2 huwa zina stuck sana toa betri na uweke tena kisha itawaka
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Mar 21, 2015 #3 Pia jaribu kutoa na memory au hiyo betri i chaji kwanza kwenye kobe pengine power yake ipo chini sana.
Pia jaribu kutoa na memory au hiyo betri i chaji kwanza kwenye kobe pengine power yake ipo chini sana.