Tecno m3 inauzwa sh 100000/=

Tecno m3 inauzwa sh 100000/=

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
Habari wakuu

Nikwamaranyingine tena nawaletea simu aina ya tecno m3 ikiwa ktk halinzuri kabisa kimuonekano na hata kiutendaji wa kazi kama inavyoonekana pichani, naiyuza kwa sh 100000/=TU kama uko interested unakaribishwa

Npo dar
No 0713943432
 
Attachments

  • 1405006406580.jpg
    1405006406580.jpg
    8.5 KB · Views: 327
Kama nikiitaka ntaipataje maana mimi nipo kigoma kijiji cha mshwabure mpakani mwa burundi maana mimi shoping zangu naona bora niende burindi mkoa makamba kuliko tanzania ni mbali sana.
 
Kama nikiitaka ntaipataje maana mimi nipo kigoma kijiji cha mshwabure mpakani mwa burundi maana mimi shoping zangu naona bora niende burindi mkoa makamba kuliko tanzania ni mbali sana.

Dah..! Mbali sana kaka!
 
Tatizo ni umbali mkuu ila ilikuwa ya kuchukua. Fulsa kwa waliopo karib na we2
 
Back
Top Bottom