Tecno m3 ina miezi 2 toka itoke dukani + 50,000/=

Tecno m3 ina miezi 2 toka itoke dukani + 50,000/=

Damidizzo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
400
Reaction score
174
nahitaji kupanda daraja mwenye cm yenye uwezo zaidi ya hyo kwa dau hilo ahusike na kichwa hapo juu.
 
Nipe namba yako ya mpesa nikutumie sasa hivi! Na wewe utume kesho simu kwangu! Nipo Tunduma.
 
Mkuu hiyo tecno Unauza au unahitaji?

ninayo nahitaji kubadirishana na cm yenye uwezo zaidi ya hiyo nipo tayari kuongeza kias hicho cha pesa kutegemea na cm ya kubadirishana itakayopatikana
 
ninayo nahitaji kubadirishana na cm yenye uwezo zaidi ya hiyo nipo tayari kuongeza kias hicho cha pesa kutegemea na cm ya kubadirishana itakayopatikana

Nipe Laki1 + m3 nikupe tecno h6

Specs:

Android: 4.4 KitKat

Camera 8mp
Front camera 2mp

Screen size: 4.5inch

Internal memory:8Gb
Ram:1Gb
 
150000 single sim card 4GB internal memory used from Australia!
 
Nipe Laki1 + m3 nikupe tecno h6

Specs:

Android: 4.4 KitKat

Camera 8mp
Front camera 2mp

Screen size: 4.5inch

Internal memory:8Gb
Ram:1Gb

parefu xna hpo kwa hyo cm
 
parefu xna hpo kwa hyo cm

Hahahaha,,,

Simu inauzwa 210000 dukan,imetumika kwa 2weeks na ina kila kitu chake kwenye box,kisha unasema parefu..

Hyo m3 dukani ni 110000,then we umeitumia kwa miez mi3 unadhan itakua na thaman ya kias ga.?
 
iyo cm dukani 180k bhana acha u ESCROW
na hii imetumika miez 2 umeni quote vibaya
 
Back
Top Bottom