Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
Tatizo Android is starting app,TECNO L9+ MKOMBOZI WA WATANZANIA.
Kampuni ya simu yenye asili ya China, Tecno Mobile imekuja na ufumbuzi wa tatzo la simu janja (smart phone) kutokaa na chaji kwa muda mrefu.
Tecno wanajulikana kwa kua na simu zinazokaa na chaji kwa muda mrefu lakini zikiwa na ubora mkubwa, inatazamiwa hivi karibuni Tecno wataingiza sokoni simu itakayokua mkombozi wa watanzania, simu hii inatoka kwenye mfululizo wa matoleo ya L, ikitanguliwa na L8/l8 plus hii inakuja ni L9 plus .
Tecno L9 plus inatarajiwa na kua betri lenye uwezo mkubwa Zaidi simu zilizoko sokoni za aina yake, ikiwa ni 5000 mAh, kwa ukubwa wa betri hili pamoja na matumizi makubwa kusikiliza au kuangalia video, kupiga picha na kutumia mitandao ya kijamii simu hii inaweza kufika masaa 72 ambayo ni sawa siku tatu ndipo mtumiaji anaweza kuchaji tena.
Pia Tecno L9 plus pamoja na kua betri kubwa inakuja ikiwa na uwezo mkubwa kuchaji haraka, mtumiaji akichaji kwa muda wa dakika tano anaweza kuitumia simu kwa kupiga picha Zaidi ya 1000.
Kwa watanzania walioko mikoani simu hii inawafaa Zaidi hasa ukizingatia matatizo ya umeme kukatika katika kwa muda usio julikana, pia kupunguza kadhia ya kutembea na vibeba umeme, power bank.
Tecno L9 plus inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni pia ina usalama wa alama ya vidole maarufu kama finger print hali kadhalika wemba wemba mzuri utakao mpa mtumiaji urahisi wa kuitumia.
Inatabiriwa kufanya vizur sokoni na wataalamu wa vifaa vya mawasiliano, Tecno L9 plus inasubiriwa kwa hamu na watanzania wengi.
Mbona L8 battery yake ni 5050 mAhTECNO L9+ MKOMBOZI WA WATANZANIA.

kuna kipindi nilitumia sana izi simu, za kipimbi sana aisee..viva samsungMimi ni mpenzi wa kutupwa wa simu za TECNO, Ila nmegundua simu zake zikaa mda mrefu zinaanza kusumbua kwa kuhiload mda mrefu na kugandaganda
kuna kipindi nilitumia sana izi simu, za kipimbi sana aisee..viva samsung
INATOKA mwezi ujao bei takua nzur tu wanvyosem wenyewehujasema bei. sas km mahela ya kutosha inakuwaj n mkomboz wetu?
ina screen kubwa inch 6, ina finger print, ina android 7.o mpya, in internnal 16gb, ram 2gb.Materials zake zimekaaje masna kua na mAh kubwa sio inshu vitu vingine imekaaje ili kukamilisha seti nzima ya simu hiyo
inategemea na model sometimesMimi ni mpenzi wa kutupwa wa simu za TECNO, Ila nmegundua simu zake zikaa mda mrefu zinaanza kusumbua kwa kuhiload mda mrefu na kugandaganda
.....Hahaaa....Sasa Pimbi ni simu au mwenye simu??kuna kipindi nilitumia sana izi simu, za kipimbi sana aisee..viva samsung