Tecno kumbe matapeli hivi ?

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
WANA JF..

Leo nimeenda kumnunulia tecno h6 wifi(shemej) yenu,nlvutiwa na simu kwasabu iliandkwa specs zake ni 8GB(ROM),1GB(RAM)..

Lakin nlpofka nyumbn na kuiwasha nkakuta kama ifuatavyo
 

Attachments

  • 1415288108405.jpg
    19.4 KB · Views: 483
Isije ikawa ni ndugu zake bruce lee mkuu ndio waliotengeneza, ikague vizuri tu mkuu utapata jibu, ni vizuri kununua kwa wakala ili iwe rahisi kumrudishia na mara nyingi mawakala wakikuuzia kitu receipt inaandikwa mpaka namba za IMEI hivyo hawawezi kusema kwamba hiyo sio simu tuliyokuuzia
 
Ngoja waje wataalamu watuambie maana ya hiyo picha.
 

Nimenunua kwa wakala mku
 
WANA JF..

Leo nimeenda kumnunulia tecno h6 wifi(shemej) yenu,nlvutiwa na simu kwasabu iliandkwa specs zake ni 8GB(ROM),1GB(RAM)..

Lakin nlpofka nyumbn na kuiwasha nkakuta kama ifuatavyo

Operating system lazima ichukue nafasi, kama kwenye PC ukiwa na 500GB harddrive haina maana kuwa zote zitakuwa free. Same for RAM kila kitu kinachorun kwenye system kuanzia OS hadi Apps lazima kitumje RAM, kwa hiyo hapo hakuna wizi wowote.
 
kawaida hio, simu zote zipo hivyo japo hio 4gb ni too much, wanaeka bloat nyingi. huwa kikawaida kwa simu zenye bloatware chache unaachiwa 5.5gb hv kwenye 8gb yako ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…