omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Waungwana tecno k9 inagoma kuwaka tochi pia camera inapiga ya mbele ila ya nyuma haionesh sehem ya kuigeuza ili iweze kupiga sijui shida nini?
Achana nayo hiyo tafuta samsungWaungwana tecno k9 inagoma kuwaka tochi pia camera inapiga ya mbele ila ya nyuma haionesh sehem ya kuigeuza ili iweze kupiga sijui shida nini?
Tecno.....!!!
Tusubiri za Mengi.
Hizo k9 zimefeli kutokana na matitizo kama hayo na sasa wamesitisha kutengeneza tena.Waungwana tecno k9 inagoma kuwaka tochi pia camera inapiga ya mbele ila ya nyuma haionesh sehem ya kuigeuza ili iweze kupiga sijui shida nini?
inapigaje camera km haiwaki jieleze vizuri banaWaungwana tecno k9 inagoma kuwaka tochi pia camera inapiga ya mbele ila ya nyuma haionesh sehem ya kuigeuza ili iweze kupiga sijui shida nini?
Shida ni wewe mkuu kama simu haiwaki matatizo yote hayo umeyaonaje ?Waungwana tecno k9 inagoma kuwaka tochi pia camera inapiga ya mbele ila ya nyuma haionesh sehem ya kuigeuza ili iweze kupiga sijui shida nini?
Thanksiyo inabidi uwacheki tecno tatizo inaweza kuwa ni software
hahhahahahaaaaHauwez ukasema haupend upumbavu alafu bado unatumia tecno