Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Jun 8, 2015 #1 wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,805 Jun 8, 2015 #2 Hamna tecno mbovu ila zote ni fake! tafuta samsung
Dcruz Senior Member Joined Feb 21, 2015 Posts 178 Reaction score 119 Jun 8, 2015 #3 Kabelwa said: wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki Click to expand... Ingia hapa Mkuu [url = http://gc.tecno-mobile.com/
Kabelwa said: wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki Click to expand... Ingia hapa Mkuu [url = http://gc.tecno-mobile.com/
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Jun 8, 2015 Thread starter #4 hiyo vc in ipi
Dcruz Senior Member Joined Feb 21, 2015 Posts 178 Reaction score 119 Jun 8, 2015 #5 Toa betri utaiona au angalia kwenye box ya simu yako
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Jun 8, 2015 #6 Kabelwa said: wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki Click to expand... zote zipo sawa tu..fake
Kabelwa said: wadau utajuaje tecno h6 mbayo ni orijino na ambayo ni feki Click to expand... zote zipo sawa tu..fake
L lukton ii New Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jun 8, 2015 #7 Tecno za maajabu sana usijidanganye mkuu
AgentX JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 1,651 Reaction score 1,700 Jun 9, 2015 #8 Jambazi said: Hamna tecno mbovu ila zote ni fake! tafuta samsung Click to expand... Free ads for samsung..... Okfine baadshah said: Toa betri utaiona au angalia kwenye box ya simu yako Click to expand... Maelezo yako hayaeleweki. kcamp said: zote zipo sawa tu..fake Click to expand... Mmh mkuu sio fake. Ni cheap phones bhana. lukton ii said: Tecno za maajabu sana usijidanganye mkuu Click to expand... Ngoja basi tuziingize ktk maajabu saba ya dunia.
Jambazi said: Hamna tecno mbovu ila zote ni fake! tafuta samsung Click to expand... Free ads for samsung..... Okfine baadshah said: Toa betri utaiona au angalia kwenye box ya simu yako Click to expand... Maelezo yako hayaeleweki. kcamp said: zote zipo sawa tu..fake Click to expand... Mmh mkuu sio fake. Ni cheap phones bhana. lukton ii said: Tecno za maajabu sana usijidanganye mkuu Click to expand... Ngoja basi tuziingize ktk maajabu saba ya dunia.
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Jun 9, 2015 #9 Kwani kuna tecno fake na original, yote si mafake tu
Dcruz Senior Member Joined Feb 21, 2015 Posts 178 Reaction score 119 Jun 9, 2015 #10 Kabelwa said: hiyo vc in ipi Click to expand... Toa betri utaiona au angalia kwenye box ya simu yako
M mwanachamahuru Member Joined Jun 7, 2015 Posts 49 Reaction score 7 Jun 9, 2015 #11 Fk wanatengeneza vitu vya bei kubwa