Tecno h6

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Waliowahi kuitumia hii tecno h6 naomba kujua ubora wake na ufanyajikazi wake.
 
Waliowahi kuitumia hii tecno h6 naomba kujua ubora wake na ufanyajikazi wake.

Kwa kweli ni nzuri ukilinganisha na previous tecnos, camera ni nzuri 8 megapixels, themes zake ni safi zinavutia unlike others zinafanana kidogo na za iphone, screen resolution ni nzuri, 1 gb ram 8gb internal memory kwa kifupi ni simu yenye specifications kubwa kuliko bei yake personally nimeipenda
 
Kwa maana hiyo ina ubora kiasi fulani.
 
Waliowahi kuitumia hii tecno h6 naomba kujua ubora wake na ufanyajikazi wake.

kanunue brand yenye technical support kubwa mkuu.achana na Simu za mtk hizo.
 
Waliowahi kuitumia hii tecno h6 naomba kujua ubora wake na ufanyajikazi wake.


Ni simu nzuri, Ram 1GB, camera 8'mp na cpu 1.3 quad. Android 4.4.2 KitKat na screen 4.5 . Na theme yake wameimodify kama alivyosema mdau.

Realy its nice for its price sijaona chinese phone ya bei chini ya laki 2 yenye specs hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…