Tecno h5 imenigomea

ENT

Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
34
Reaction score
2
HABARI ZA LEO , Ndugu zangu ninaomba msaada simu yangu ya tecno h5 imenigomea baada ya kuiwipe data na cache yaani inawaka alafu kwenye skrini haioneshi kitu ni mwanga tu ndo upo alafu kuna mstari wa bluu kwa juu sasa nifanyaje msaada ndugu zangu
 
Ume wipe cache kwa custom recovery ama stock recovery?
 
Hizi tecno sasa hivi zimechakachuliwa nini!naona malalamiko ya watumiaji yamekuwa mengi sana.
 
Mi ya kwangu c8 what's up SMS haziingii kwa wakati mpaka use online muda wote
 
nimewipe cache na nikareset data
 
nenda google soma how to use sp flash tool kisha ukishaelewa jinsi ya kuflash ndo uje hapa tukupe stock rom.
Ah kk tuhurumiane .mm BRN ivo vitu nilisoma ila naogopa kuua cm
Ila sikuelewa.naomba unielezee tu.iyo inafanyaje kazi kwenye cm
 
Ah kk tuhurumiane .mm BRN ivo vitu nilisoma ila naogopa kuua cm
Ila sikuelewa.naomba unielezee tu.iyo inafanyaje kazi kwenye cm

Kwani wewe ndo umebrick hyo h5?
Ukiwa mwoga hutoweza kujifunza hivi vitu...tutorial ni zile zile tu.kwaiyo hta nkikuelekeza mimi ni sawa na ulivyoona google huko.
 
Oky
.ila mm sijawah miliki tecno
Na wala sihitaji ....
poa mkuui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…