Tecno Camon vs Inifinix S4, ipi bora?

kinole1984

Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
65
Reaction score
50
Naomba msaada wenu, nahitaji simu

Naomba ushauri kwa uzoefu wenu, kati ya Techno camon 12 Vs Inifinix ipi bora zaidi?

Hapa nazungumzia katika ukaaji na chaji, uharaka katika kufanya vitu na kila kitu ndani yake
 
Nadhani ungesubiri Infinix S5 inatoka hv karibuni uione then ufanye comparison uchukue ipi.
 
hamna simu bora hapo.

unanunua matatizo tu.
 
hamna simu bora hapo.

unanunua matatizo tu.
Zamani mlikua mnasema simu hazipo gsm arena na kuhitimisha kuwa ni famba sasa hivi baadhi zimo huko hapo napo mtasemaje
 
Zamani mlikua mnasema simu hazipo gsm arena na kuhitimisha kuwa ni famba sasa hivi baadhi zimo huko hapo napo mtasemaje
hiyo ilikuwa sababu ya nyongeza tu sio ya msingi.

hoja yetu ya msingi inabaki pale pale,huwezi kuwa na akili timamu unatoa zaidi ya 250k kununua tecno au infinix na itel.kama ni chini ya hapo pia kakope hela uongezee ununue simu.
 
Wapendwa ipi simu bora hapo? Nahitaji simu.

Zinafanana specs zote isipokuwa Camon 12 ina kioo kikubwa zaidi kuliko hiyo infinix s4.

Hiyo infinix zipo matoleo mawili, kuna la 3GB na 6GB RAM.

Camon 12 ipo toleo la 4GB Ram

Kama ni mimi ningechukua hiyo Camon 12 kwa sababu hiyo infinix ya 3GB RAM ipo chini na hiyo ya 6GB itakuwa hela ndefu. Angalia tu bei zipoje wasikupige za macho
View attachment 1259165
 
Naomba msaada wenu, nahitaji simu

Naomba ushauri kwa uzoefu wenu, kati ya Techno camon 12 Vs Inifinix ipi bora zaidi?

Hapa nazungumzia katika ukaaji na chaji, uharaka katika kufanya vitu na kila kitu ndani yake
Infinix
 
Nikushauri kitu hapo hakuna simu kabisa utapoteza hela bure nimeshamiliki infinix na tecno za sina mbali mbali ila niseme ukweli hizi simu zinasumbua mnooo simu inakwambia imejaaa wakati nyimbo na video na application karibia zote nimefuta sasa inajaaa nini tafuta hela nunua huawei au Samsung ndugu
 
kenge hasikii mpaka damu itokee masikioni.
 
Mkuu nunua Tecno Spark 4 air kwa Mwanza ina 210K /215K , ni simu bomba sana kwa mwonekana pia ina betri mbili ,zote removable moja ina 3000mAh+extra 3000mAh ,, ukichaji zote betri hakika utasahau mara ya mwisho kuichaji simu hii , mbali na hapo wamejitaidi kudesign simu ina mwonekano wa XIAOMI REDMI NOTE 7 imeachana kidogo, Jana Niliagizwa kwenda kuinunua mwanza na nimefanikiwa kuinunua asee [emoji4][emoji4] storage 32GB and 2GB Ram ..
 
Tecno Spark 4 Air
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…