Tecno Camon cx Tsh 300,000 Smartphone bei sawa na bureeee

Tecno Camon cx Tsh 300,000 Smartphone bei sawa na bureeee

igembe2018

Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
18
Reaction score
10
Phone specification
Internal storage 16 Gb
Camera 16Megapixel both
Rom 3Gb
Fingerprint security
Full metal body
Adroid 7.0
Full High definition display
4G LTE network
4LED flash for low light enviroment
Fast charging
Wide angel front camera for group selfies
Betry 3200 mAh Li- polymer

Imetumika mwezi mmoja tu
Unaruhusiwa kuiona kabla ya kufanya biashara.
Utapewa sim cover 2
Charger original (fast charger)
Kwa mawasiliano zaidi
0713 333078
0768 666678
unnamed.jpg
 
bei ya jumla dukani ni 290k
Hapo kuna Dhana 2.
1 alinunua kwa kupigwa.....ie 350k au 400k.

2 kwa kuwa ni mtumba anaamini ni nzuri sana hautapata mpya ya hivyo........
 
inavigezo vizuri ila jina. Tecno ata ikiwa na ubora kiasi gani huwa naidharau sijui nini tatizo natamani kutumia sana ila jina lake wangeondoa ata iyoo tecno waiiite CX.mimi simu ubongo unaezijua ni Nokia/Samsung/iPhone/lenovo/Motorola/sony.

Huu ugonjwa sijui utaniisha lini.

Nipe tiba nikuungishe hiyoo simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom