Tecno camon C9 inauzwa

Tecno camon C9 inauzwa

dicloppa

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
278
Reaction score
410
Njoo nikuuzie tecno camon C9 ambayo niliinunua dukani(receip yake ipo) , naitumia mimi mwenyewe pia haina Tatizo lolote na haijawah kufika kwa fundi.

Specifications za simu
Camera mbele na Nyuma 13MP
storage 16GB
RAM 2GB
Rangi ya silver
Bei Tsh 225,000/=
location - Dar es salaam

NAMBA YANGU YA SIMU 0712936073
tapatalk_1521529846934.jpeg
tapatalk_1521529830950.jpeg
tapatalk_1521529825315.jpeg
 
Kma ujaiuza njoo uchukue 150k ipo mfuko wa shat
 
Tecno Camon C9 nyingine inauzwa bei ni 130,000 haina tatizo lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom