Tecno camon 40 series simu bora kwa mwaka 2025

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754


Kama utaniambia ni simu Gani unaweza tumia bila wasiwasi kwa mwaka 2025 basi hii ni Series' ya Tecno Camon 40 na Camon 40 pro Toka kampuni Bora kabisa Afrika Tecno.

๐ŸŽˆ Kwanza simu hii imeundwa kwa muundo wa Galaxy Black , ikiwa unaishika mida ya usiku utaipenda sana inavyoonekana sio poa ni Super.



๐Ÿ’ก Kioo chake ni AMOLED kikiwa na inch 6.67 ni ultra clear skrini inayovutia kuitizama, pamoja na ufanisi Bora yani smooth ikiwa refresh rate ya 144Hz ni super smooth performance.



โšก One tap Button hii ni batani nzuri sana ambayo inakurahisishia mambo kadhaa, una uwezo wa ku enable Akili bandia ya anaitwa Ella kwa kubonyeza mara mbili TU kwenye kitufe.



๐Ÿ” Ubora wa kuediti picha kupitia feature ya XDR inawezekana umepiga ila rangi na Mwanga haujakaa fresh kupitia XDR inakupa uwezo wa kuongeza Mwanga na Rangi kwenye Picha na kutoa picha zenye mvuto.



๐Ÿ“ธ Kwenye Kamera inatumia mfumo wa Sony Yenye 50mp Sony Lyt - 701 yenye kutoa picha kali mahali popote. Unaweza chukua video yenye ubora wa hali ya juu ya 4k@30fps yenye kutoa video kali balaa.



Kubwa zaidi ni Ip69 rating yenye kukufanya uwezo wa kuchukua video kwenye maji kwa muda zaidi ya lisaa limoja na nk, pamoja na uwezo wa kuzuia maji kwenye simu yako.

๐Ÿš€ Processor yake ni mediaTek Dimensity 8350 ultimate AI processor.
 
Bei yake vipi?
 
Toka simu yangu ya Tecno igande na kuonyesha neno tecno kwenye screen hata nilipoleka kwa fundi ikagona na baadae kufa, na mfukoni nilikua vibaya apeche alolo sikua na pesa ya kununua simu kwa wakati huo

Sitokaa niamini hii kampuni, hata waipambe vipi siwezi kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ