Tecno Camon 11 Pro for sale

Tecno Camon 11 Pro for sale

Nenda Kariakoo. Fika Msimbazi Round about upande huu wa maduka ya simu ulizia kwa Kiropo. Utafikishwa dukani kwake.
Beiii umesema lakii 4 si ndiooo
 
MWENYE KIOO CHA A9 PRO (2016) NAHITAJI PLZZZZ
 
Yaanii hawa jamaa naona sijuii bei zao za wapiii..

Wanipe location.

Maana mimi nime nunuaaaa tecno house kwenyewe.
Chances are ungeenda Tigo shop ungekuta bei ni juu kuliko huko Tecno house kwenyewe.
 
Hapana isipokua nimemaanisha ya kua unaiuza Camon 11 pro kwa bei kubwa wakati successor wake ambaye ni Camon 12 na 12 Pro bei ni chini mno ya bei unayouza hii Camon 11 Pro. Almost Laki nzima.
Huyu ni dalali atakuwa...ndio maana wanakosa wateja...kitu cha laki mbili unaanzia laki nne duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom