TECNO C9

barbie20

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
45
Reaction score
66
Habari nipeni ufumbuzi katika hili .natumia tecno c9.kuna tatizo limejitokeza LA kupoteza network ukiweka lain inaandika no service or emergency... Nkienda baaz ya sehem lain inasoma ...nmejaribu kuset mobile network Hamna kilichosaidia..
 
Yajayo yanafurahisha
Itaanza kuwapigia watu muhimu kama mama yako na kumtukana.

Itaanza kujaza chaji hadi 110%
Itaanza ku_download pornography bila kutaka.
Sjaelewa mkuu
 
Camera naiuza njoo na 800k ni mpya kabisa njoo inbox tuongee haina tatizo lolote ni mpya kabisa imetumika miezi mitatu tu bland Nikon D3500 pia Nina copy machine HP coloured nayo ni mpya ina miezi mitatu tu lisit zipo INA warranty zake bado hazijaisha bidhaa in good conditions wala haina tatizo lolote njoo inbox tuongee maongezi na kupunguziana kupo

DALALI HAHITAJIKI FOR SERIUS BUYER ONLY

Au WhatsApp me 0656958801
 
Alafu utashangaa usiku ukishika imelipa kila kitu
#umeme
#maji
#luku
 
Nenda kwa fundi simu mwambie akubadilishie kiwaya flan cha network kitakuwa kmeshachakaa hicho haizd buku 6 na matengenezo

Mimi ilinitokeaga hvyo tatzo likaisha na C9 yangu
 
Habari nipeni ufumbuzi katika hili .natumia tecno c9.kuna tatizo limejitokeza LA kupoteza network ukiweka lain inaandika no service or emergency... Nkienda baaz ya sehem lain inasoma ...nmejaribu kuset mobile network Hamna kilichosaidia..
Ulishawahi kubadirisha mike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…