Imetumika 2 weeks Ila ipo kwa hali nzuri kwa mujib wa muuzajiHapa lofa ni Wew hapo ambaye unamuita mwenzio, kweny new condition inatumika Hata kwa bidhaa used ila ambayo Iko katika hali ya upya so hajakosea kuuliza umetumia mda gani sababu Hata used nayo inaweza kua new condition.
Imetumika muda gani???MZIGO BADO UPO KWA WAHITAJI
unatokea kanda gani? mana haya majibu ni ya watu wa kanda ileeeeMkuu kumradhi.....naomba nikuite lofa...kama alivyowahi kukuita mzee mkapa. Inamaana hukuelewa ama jeuri tu hiyo statement ya "new condition" na "full boxed" kama alivyoeleza mtoa mada.
[emoji23] watu kwa kejelfull boxed maanayeke iyo simu ya imetengenezwa mabox tupu au?
Wasomi wa kibongo ni wajinga tu kumwita mwenzako lofa kwa kutoelwa Kiingereza nao ni ujinga tuNdo mmueleweshe nyie mnajiita wasom
Ujinga mtupu anajifany msom kwa nchi hiiWasomi wa kibongo ni wajinga tu kumwita mwenzako lofa kwa kutoelwa Kiingereza nao ni ujinga tu
Ila kwa Mwenye hekima hutambua mapema
We kweli mpumbavu na lofa daraja la kwanza.unafanya biashara kwa kutumia lugha hii?Ndio maana nikamwita "lofa" not everything is for everyone. Kama hakuelewa ni nini kimemfanya achangie.