Kuna tofauti ya stand by ya chaji niliyoiona baada ya kuupdate. Kabla simu ilikuwa na uwezo wa kukaa siku tatu ila baada ya kuiupdate kukaa saa 24 imekuwa shida. Je ninawezaje kuondoa update zake nibaki kwenye ile vision ya zamani

Hilo unalo lisema nikweli mkuu, simu imekuwa ina tumia chaj fasta sana.
Kutatua hilo tatizo ni hadi ku flash kwa Rom ya lollipop ya C8. Na TCRA nimeshangaa wanasema ku flash simu ni kosa la Jinai.

Nilianzisha hii thread kwa tecno c8 kwakuwa ndio ambayo ninauelewa.
Labda shida yako ungeifanya kama thread kwa msaada zaidi. Au mtaafute Chief-Mkwawa humu.