Mkuu hilo lipo nje ya uwezo wangu. Kama upo dar nenda kwenye ofisi zao utapa msaada zaidi.Mimi ninahitaji screen ya f7 original. Nitaipataje?
Sawa mkuu kama imezima tumia volume up na power batan ikiandika no comand. Badilisha utaratibu anza kubana power batan kisha volume up yatakuja maandishi ya blue. Nenda hadi update from sd card cahgua lile file ulilo dawnload utaliona tu kwasababu unashauriwa usilielweke ndani ya folder yoyote kwenye memory. Ukilichagua subiri hadi imalize ku upgrade.Duuh ya kwangu imezima kabisa, baadae nilipojitahidi kuwasha inaonesha maandishi ya kichina
Nikifuata hizi hatua kwenye Tecno C5 na sio C8 nitapata madhara yoyoteHilo file la update ukili dawnload lihamishe kwenye memory card lakini liwe nje ya folder za memory usiliweka ndani ya folder lolote lile kisha fuata hizo hatua.