ahsante sana mkuu nimeongeza mala me I should saivi kidogo ina nafuu japo sio saana lakini atlist inaridhishaGo to settings
Language and input
Pointer speed
Increase speed
Tap okey
Halafuchunguza kama sensitivity imeongezeka ila by default unatakiwa ukute ipo 50%
pole dear..ngoja wataalam waje kutoa mawazo yao yakinifu kwa namna moja hadi nyingine yatasaidia wahanga!!Habari zenu wakubwa,Week iliyopita nilinunua tecno boom J8 Mliman City pale,sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze Kwa nguvu ndio zinasense
Je kuna uwezekano WA kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali
Specifications nyingine zote ziko vizur isipokua hapo kwenye upande WA touch tu!! Msaada tafadhali.
Cc njunwa mavoko
mwl rtc
Chief mkwawa
etc
Umenunua sh. NgapiHabari zenu wakubwa,Week iliyopita nilinunua tecno boom J8 Mliman City pale,sasa naona touch yake haiko sensitive kabisa yaani mpaka ubonyeze Kwa nguvu ndio zinasense
Je kuna uwezekano WA kuongeza sensitivity kwenye simu? msaada tafadhali
Specifications nyingine zote ziko vizur isipokua hapo kwenye upande WA touch tu!! Msaada tafadhali.
Cc njunwa mavoko
mwl rtc
Chief mkwawa
etc
chukua camon c9, hutajutiaWadau mbona wanitisha na touch kuwa mgumu maana ndo nipo ktk heka heka za kwenda kuichukua mda sio mrefu hiyo J8