Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonyesha kombe la dunia la Gambia?
Mubashara kabisa kupitia mobdro apps.Inaonyesha kombe la dunia la Gambia?
150 faster ...ni pmNauza simu tecno boom j8 Yenye specifications zifuatazo
Internal memory 16 GB
random access memory RAM 2GB processor speed 1.3GHTZ
android version 5.1 lollipop HiosCamera -primary camera 13 megapixels Camera -secondary camera 5 megapixels Number of SIM cards -dual min sim
Networks -2G,3G,4G LTE.
Size 5.5 inches.
Bei 21View attachment 461205View attachment 461206View attachment 461207View attachment 4612090000 Tanzania shillings.
Imetumika kwa muda mchache na iko kwenye hali nzuri sambamba na glass screen protector haina tatizo lolote. Inapatikana Mwanza ila kwa walioko mikoani na Dar unaweza kuletewa kwa ndege.
Wahi mapema ujipatie hii simu pendwa ya tecno yenye uwezo mkubwa sana wa kukaa na Chaji na yenye umbo na muonekano Kama wa iPhone 6.
Kwa mawasiliano Nitafute kwa 0621 009974 au 0676475414
Humble African.
Huko mbali mkuu! Fika bei nikupe mzigo maridhawa wapo wengi wamekuja pm na bei hiyo ila nimetokea mbavuni.150 faster ...ni pm
Yaani hapo ndio nimeji-brother sugar cane kichizi....Huko mbali mkuu! Fika bei nikupe mzigo maridhawa wapo wengi wamekuja pm na bei hiyo ila nimetokea mbavuni.
Anyways! Bei yako ya kununua kabisa ni kiasi gani?
Kombe LA dunia la Gambia? Hahaaaaa umenichekesha sana mkuu!!!! Jamii forum haishi vichekeshoInaonyesha kombe la dunia la Gambia?
Imeshauzwa muda huu tu.Yaani hapo ndio nimeji-brother sugar cane kichizi....
Imeuzwa muda huu tu.Ina umbo kama I phone 6 kama = sio