Tecno boom j7 inauzwa.

Yimakatso

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,963
9,307
Habari wakuu.Kuna dogo hapa home anatafuta mtu mwenye uhitaji wa haraka wa simu boom j7 maana kesho anaondoka kwenda shule Arusha.Specifications zake 16GB Storage,1GB RAM,8MP CAMERA.Simu bado imesimama vizuri.Au kwa mtu mwenye simu ndogo yake na hii j7 mbadilishane umuongezee hela kidogo.Bei ni 160k.0712484858 whatsapp/call.Nipo Dar.
 
Bado ina kila kitu chake kama headphone na wenzake?
 
Back
Top Bottom