Technology mpya bungeni

Sidhani kama wAna nia YA dhati kabisa kuboresha BUNGE, ninachoona ni maslah Yao binafsi na YA chama chao, hivi karne hii kweli na zama ZA digital unaamua tuu BUNGE lisionekale moja kwa moja, kisa ooooh baadhi YA wabunge wanapenda sifa so what? Mmeona sasa viongozi wenu wwalivyo na akili?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…