Jindal Singh JF-Expert Member Joined Sep 9, 2015 Posts 1,857 Reaction score 1,543 Oct 2, 2015 #1 Nimekuwa mfuatiliaji wa technology mbalimbali ila nimeshinda kuelewa ile mashine ya kumgundua mtu muongo yaani lie detector inafanyaje kazi?
Nimekuwa mfuatiliaji wa technology mbalimbali ila nimeshinda kuelewa ile mashine ya kumgundua mtu muongo yaani lie detector inafanyaje kazi?
BJBM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 664 Reaction score 606 Oct 2, 2015 #2 Naionaga kwenye muvi tu huwa inasoma pulse za mapigo ya moyo. Ngoja waje wanaojua watujuze vzuri.
Jindal Singh JF-Expert Member Joined Sep 9, 2015 Posts 1,857 Reaction score 1,543 Oct 2, 2015 Thread starter #3 Mi naona kama waongo vile ngoja waje watu wa electronic.
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,583 Reaction score 27,838 Oct 2, 2015 #4 Jindal Singh said: Nimekuwa mfuatiliaji wa technology mbalimbali ila nimeshinda kuelewa ile mashine ya kumgundua mtu muongo yaani lie detector inafanyaje kazi? Click to expand... Hakuna kitu kama hicho! Ni mbinu na utundu wa hapa na pale lkn hakuna Mashine inayoweza kusema nani ni Muongo na nani anasema Ukweli!
Jindal Singh said: Nimekuwa mfuatiliaji wa technology mbalimbali ila nimeshinda kuelewa ile mashine ya kumgundua mtu muongo yaani lie detector inafanyaje kazi? Click to expand... Hakuna kitu kama hicho! Ni mbinu na utundu wa hapa na pale lkn hakuna Mashine inayoweza kusema nani ni Muongo na nani anasema Ukweli!