hawakua na tech yeyote,mmoja alisahau ID ndani ya gari,nikipata mda ntaiweka hapa hiyo id,kisha wakamtambua yuko kwenye database zao,kisha wakajua ana ndugu yake ambae nae alikua anamiss,toka hapo haikua kazi kupata picha kwani walikwenda kupekua kwao.
Drone haiwi programmed,inaongozwa toka ardhini.Vita vya Afghanistan vilipoanza marekani aliprogram drones zake zikiona mtu ana futi sita na zaid vilipue mabom. Wadau warefu walikufa sana kwasabab ya osama. Yani kitu hakina ruban kikiona tu mtu mrefu maeneo ya tora bora kinadondosha ki2 kizito chenye ncha kali kikigusa ardhi kinalipuka maamae
Kama walikua wamevaa gloves ni ngumu kupata alama za vidole na kwajinsi walivyokua wamevaa hood kichwani,uwezekano wa kudondosha unywele ambao ungetumika kumach DNA ni mdogo.labda kama ni wavuta sigara vikutwe vipisi.Hakuna alieacha ID kwenye gari. ...kilichofanya wakagundulika ni vidole na DNA. .....mdogo mtu ameshakaa rumande kwa miezi kama minne kwa sababu ya mambo haya ya kigaidi kisha akaachiwa. ...kaka mtu nae amewahi kukamatwa na police. .......picha tulizoziona kwenye tv ni picha ambazo zikishatoka kwenye magazeti mwaka 2007
Walikua tayari na rekodi polisi,lakini dna au alama za vidole si njia waliyotumia kuwafahamu,kwani walikua wamevaa hood sasa ingekua kazi kupata unywele waufanyia dna test.kuhusu alama za vidole itakua walikua wamevaa gloves kwahiyo hawawezi kupata alama ,labda kama za mda mrefu kama walizipata.Mkuu Umeongea Kweli,ila Wale Hawakuchomwa Na Alama Za Vidole,alama Za Vidole Ni Hadi Mtu Awe Amekamatwa Then Wanampima Na Kufananisha Na Sampuli Zilizohifadhiwa,ina Maana Hapo Anakuwa Ready Detained Ndo Alama Za Vidole Zinafanya Kazi,wale Magaidi Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Au Niseme Godauni Nje Ya Jiji La Paris,ndipo Baada Ya Kubaini Kwa Intelligency Iliyokuwa Imewekwa Wakavamiwa Na Ndipo Yakatokea Majibizano Ya Risasi Ndipo Walipouawa,ila Lengo Lilikuwa Ni Kuwakamata Wakiwa Hai Wakakataa Kutii
Ipo Technology Flani Ambayo Nimeisahau Jina,technology Hiyo Ndo Ile Ambayo Mtu Anaweza Tu Kuongea Kwamba Nilimuona Haji,ni Mweusi,ana Sura Pana Kidogo,ana Macho Madogo,mdomo Mkubwa,pua Pana,then Mtaalamu Anachora,hiyo Picha Inakuwa Kama Sura Halisi Ya Yule Mtu,pia Hata Mtu Akivaa Kininja Picha Huwa Inakuzwa Kwa Darubini Maalumu Kali Sana Ambayo Ina Scan Sura Halisi,ni Kama Darubini Ambayo Ina Nguvu Kama X ray,halafu wakati wale magaidi wana escape zile kamera za mitaani CCTV,zilifanyiwa Footage Kutoka Eneo La Tukio Hadi Walipoishia,ikawekwa Intelligency Ya Hali Ya Juu Sana,kingine,wenzetu Hawafanyii Kazi Njaa Kama Sisi,kule Police Ni Police Kweli,anaipenda Kazi Yake Ni Mzalendo,jasusi,jasusi Kweli,yaani Wapo Dedicated Na Kazi Zao,wana Wito Halisi Na Si Njaa,kumbuka Ni Majasusi Wa Ufaransa Ndo Walimkamata Carlos The Jackal Akiwa Kajificha Khartoum Sudan,wale Ni Askari Wa Kweli Hasa Siyo Kama Kova,anayefanyia Kazi Njaa Kuifagilia haramu ccm na kuonea raia wasio na hatia,Tanzania Hakuna Police Wa Kweli Ni Njaa.
Kama walikua wamevaa gloves ni ngumu kupata alama za vidole na kwajinsi walivyokua wamevaa hood kichwani,uwezekano wa kudondosha unywele ambao ungetumika kumach DNA ni mdogo.labda kama ni wavuta sigara vikutwe vipisi.
Mzungu hajakariri kasoma nakuelewa
Ipo Technology Flani Ambayo Nimeisahau Jina,technology Hiyo Ndo Ile Ambayo Mtu Anaweza Tu Kuongea Kwamba Nilimuona Haji,ni Mweusi,ana Sura Pana Kidogo,ana Macho Madogo,mdomo Mkubwa,pua Pana,then Mtaalamu Anachora,hiyo Picha Inakuwa Kama Sura Halisi Ya Yule Mtu,pia Hata Mtu Akivaa Kininja Picha Huwa Inakuzwa Kwa Darubini Maalumu Kali Sana Ambayo Ina Scan Sura Halisi,ni Kama Darubini Ambayo Ina Nguvu Kama X ray,halafu wakati wale magaidi wana escape zile kamera za mitaani CCTV,zilifanyiwa Footage Kutoka Eneo La Tukio Hadi Walipoishia,ikawekwa Intelligency Ya Hali Ya Juu Sana,kingine,wenzetu Hawafanyii Kazi Njaa Kama Sisi,kule Police Ni Police Kweli,anaipenda Kazi Yake Ni Mzalendo,jasusi,jasusi Kweli,yaani Wapo Dedicated Na Kazi Zao,wana Wito Halisi Na Si Njaa,kumbuka Ni Majasusi Wa Ufaransa Ndo Walimkamata Carlos The Jackal Akiwa Kajificha Khartoum Sudan,wale Ni Askari Wa Kweli Hasa Siyo Kama Kova,anayefanyia Kazi Njaa Kuifagilia haramu ccm na kuonea raia wasio na hatia,Tanzania Hakuna Police Wa Kweli Ni Njaa.
Hapo juu umenikumbusha movie ya johny english(mr bean)kuna sehem alitakiwa amuelezee muhalifu aliyepambana naye yeye kama mpelelezi wakati mwizi huyo akiondoka na kofia na fimbo ya kifalme,kilichotokea sasa. hahaaaaaa.yaan huwa narudia hicho kipande nacheka sana.
Akamalizia na -and a shape of a banana.
Mtaalam akamchora jamaa aliyetajiwa sifa zake,kumuonyesha bean akashtuka,anaulizwa vip.akajibu yaan nimehisi kama tupo nae hapa huyo jamaa,yaan hivyo hivyo wala hujakosea.
Kumbe muongo,katengeneza tukio mpaka mtu.