Nimefuatilia kwa karibu tukio la ufaransa ila kilichonishangaza hawa jamaa walifanyaje hadi kuona sura za wale vijana wakati walikuwa wamevaa kininja please mwenye uelewa wa technology ndani ya masaa machache tayari walitoa picha zao bila ya vijana kutarajia. Tafadhali wenye uelewa kidogo
Ipo Technology Flani Ambayo Nimeisahau Jina,technology Hiyo Ndo Ile Ambayo Mtu Anaweza Tu Kuongea Kwamba Nilimuona Haji,ni Mweusi,ana Sura Pana Kidogo,ana Macho Madogo,mdomo Mkubwa,pua Pana,then Mtaalamu Anachora,hiyo Picha Inakuwa Kama Sura Halisi Ya Yule Mtu,pia Hata Mtu Akivaa Kininja Picha Huwa Inakuzwa Kwa Darubini Maalumu Kali Sana Ambayo Ina Scan Sura Halisi,ni Kama Darubini Ambayo Ina Nguvu Kama X ray,halafu wakati wale magaidi wana escape zile kamera za mitaani CCTV,zilifanyiwa Footage Kutoka Eneo La Tukio Hadi Walipoishia,ikawekwa Intelligency Ya Hali Ya Juu Sana,kingine,wenzetu Hawafanyii Kazi Njaa Kama Sisi,kule Police Ni Police Kweli,anaipenda Kazi Yake Ni Mzalendo,jasusi,jasusi Kweli,yaani Wapo Dedicated Na Kazi Zao,wana Wito Halisi Na Si Njaa,kumbuka Ni Majasusi Wa Ufaransa Ndo Walimkamata Carlos The Jackal Akiwa Kajificha Khartoum Sudan,wale Ni Askari Wa Kweli Hasa Siyo Kama Kova,anayefanyia Kazi Njaa Kuifagilia haramu ccm na kuonea raia wasio na hatia,Tanzania Hakuna Police Wa Kweli Ni Njaa.

Kama ulifuatilia lile tukio kwenye tv, baada ya jamaa kufanya lile tukio walienda mbele wakalitelekeza lile gari walilokuwa nalo. ..hivyo police walianzia pale kuchukua alama za vidole kwenye lile gari. ......wale jamaa tayari walikuwa na record mbaya, kuna mmoja alishafungwa miaka ya nyuma na mwenzake alishakuwa na kesi, hivyo kwa taratibu za ulaya ukiwa na msala na ukafikishwa police basi kitu cha kwanza ni kuchukuliwa fingerprint. ....hivyo alama za vidole ndizo zilizowachoma.
Ipo Technology Flani Ambayo Nimeisahau Jina,technology Hiyo Ndo Ile Ambayo Mtu Anaweza Tu Kuongea Kwamba Nilimuona Haji,ni Mweusi,ana Sura Pana Kidogo,ana Macho Madogo,mdomo Mkubwa,pua Pana,then Mtaalamu Anachora,hiyo Picha Inakuwa Kama Sura Halisi Ya Yule Mtu,pia Hata Mtu Akivaa Kininja Picha Huwa Inakuzwa Kwa Darubini Maalumu Kali Sana Ambayo Ina Scan Sura Halisi,ni Kama Darubini Ambayo Ina Nguvu Kama X ray,halafu wakati wale magaidi wana escape zile kamera za mitaani CCTV,zilifanyiwa Footage Kutoka Eneo La Tukio Hadi Walipoishia,ikawekwa Intelligency Ya Hali Ya Juu Sana,kingine,wenzetu Hawafanyii Kazi Njaa Kama Sisi,kule Police Ni Police Kweli,anaipenda Kazi Yake Ni Mzalendo,jasusi,jasusi Kweli,yaani Wapo Dedicated Na Kazi Zao,wana Wito Halisi Na Si Njaa,kumbuka Ni Majasusi Wa Ufaransa Ndo Walimkamata Carlos The Jackal Akiwa Kajificha Khartoum Sudan,wale Ni Askari Wa Kweli Hasa Siyo Kama Kova,anayefanyia Kazi Njaa Kuifagilia haramu ccm na kuonea raia wasio na hatia,Tanzania Hakuna Police Wa Kweli Ni Njaa.
Mkuu Umeongea Kweli,ila Wale Hawakuchomwa Na Alama Za Vidole,alama Za Vidole Ni Hadi Mtu Awe Amekamatwa Then Wanampima Na Kufananisha Na Sampuli Zilizohifadhiwa,ina Maana Hapo Anakuwa Ready Detained Ndo Alama Za Vidole Zinafanya Kazi,wale Magaidi Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Au Niseme Godauni Nje Ya Jiji La Paris,ndipo Baada Ya Kubaini Kwa Intelligency Iliyokuwa Imewekwa Wakavamiwa Na Ndipo Yakatokea Majibizano Ya Risasi Ndipo Walipouawa,ila Lengo Lilikuwa Ni Kuwakamata Wakiwa Hai Wakakataa Kutii

Forensic investigation inapofanyika kutafuta wahalifu kama kuna mahali ulishika ujue unaacha signature ambayo kwa kutumia utaalamu inachukuliwa inalinganishwa na finger prints zilizoko kwenye database. Kama walikuwa wahalifu na wakaacha gari, ni hakika kwamba polisi walitumia finger print signature zilizokuwa kwenye hiyo gari. Lakini vile vile hata macho kama kamera ikichukura sura na ikafanikiwa kuona macho bado kitechnolojia inawezekana kutumi signature ya macho kwenye picha kupata mhalifu kwa wenzetu walioendelea kiteknolojia.
walikua wamejivalisha gloves na kufunika sura hata walipokua wanaondoka Kuna mmoja aliokota kiatu na kukitupia ndani ya gari walilotorokea kukwepa kuacha ushahidi... hakuna cha finger print hapo
Kosa walilofanya ni kuongea wakimwambia yule polisi(Ahmed) umekuja kutuua kabla ya kum shoot na waliposema hii tunalipiza kwa kejeli mliomfanyia mtume Mohammed wakati rekodi zao ikiwepo sauti zipo kwenye vyombo vya usalama
hata zile stori Kuna raia kawaona sheli mara meneja kawaona wakiingia kiwandani wakijifanya polisi ni cover tu..walikua kwenye rada ya GIGN
Wiki hii walio wa finance watarestishwa..tega sikio drones zikifyeka Yemen
Nimependa uchambuzi wako kaka