TECHNOLOGIA NI KITU HATARI SANA.

Joined
Aug 9, 2018
Posts
95
Reaction score
294
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ni Silaha hatari sana, inaharibu kila kitu. Tunahitaji kuiweka teknolojia hii kwenye uangalizi madhubuti kama ilivyo kwa silaha za nyuklia. Tunahitaji kuhakikisha usiri, uaminifu na upatikanaji, tuwasimamie wale ambao tunawapa ujuzi huu.
 
nchi bila hii kitu nafikiri tutakuwa tunarudi enzi za kuandika barua unakaa miezi miwili ndiyo inafika mpaka tukio lishakosa ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…