F franknombo Senior Member Joined Mar 30, 2019 Posts 170 Reaction score 177 Aug 12, 2019 #1 Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu naomben msaada wadau
Habari cm yangu inashindwa kuinstall app na ukidownload video au audio inaandka memory full wakati kuna free space 400mb nimejarb clear cache na clear data kwenye play store bado inagoma wakuu naomben msaada wadau
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 Aug 12, 2019 #2 SIMU YAKO INA STORAGE KIASI GANI MKUU KWELI ALIYESEMA TECNO NI KIFAA CHA MAWASILIANO HAKUKOSEA
F franknombo Senior Member Joined Mar 30, 2019 Posts 170 Reaction score 177 Aug 12, 2019 Thread starter #3 8gb ila zinebak 400 mb mkuu
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,348 Aug 13, 2019 #4 Jaribu ku Clear data chrome app.
F franknombo Senior Member Joined Mar 30, 2019 Posts 170 Reaction score 177 Aug 13, 2019 Thread starter #5 Asante mkuu nimefanikiwa kwa kutumia mbinu hyo
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,348 Aug 13, 2019 #6 franknombo said: Asante mkuu nimefanikiwa kwa kutumia mbinu hyo Click to expand... Pamoja mkuu.
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,507 Reaction score 5,739 Aug 14, 2019 #7 UZA TEKNO HIYO UNUNUE SIMU MKUU...HUTOPATA HIZO STRESS UTAISHIA KUZISIKIA TU KWA TECNO USERS WENGINE