Kuna camon CM vipi itakufaa?
Mwenye nayo akuje tafadhaliMtu mwenye simu spark 2 inahitajika. Mwenye nayo ani PM.
Unalipa ngapiMtu mwenye simu spark 2 inahitajika. Mwenye nayo ani PM.
Inategemea na condition ya simu mkuu. Wewe unayoUnalipa ngapi
Ninayo ila niko nje ya dar mkuu KA7 spark 2Inategemea na condition ya simu mkuu. Wewe unayo
Duh upo mkoa ganiNinayo ila niko nje ya dar mkuu KA7 spark 2
IringaDuh upo mkoa gani
Bado mpya kabisaIringa
TIringa
Ni mpya bado ina week 2 tuDuh. Ulikuwa unauza sh ngapi na condit8on yake ipoje?T