TECHNO K9

TECHNO K9

Kijukuu

Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
39
Reaction score
12
Nina Techno spark k9, ime pata tatizo la touch kuna mda touch inafanya kazi na kuna mda ina stuck cjajua nin sababu ya tatizo hilo na haijaanguka wala kuingia maji.
=> Msaada kwa anaejua kutatua hilo tatizo au ushaur
=> au kwa anae iiitaji kwa exchange au pesa pia namkaribisha
 
hayo ni majanga ya tecno na mediatek kwa ujumla maana hizi simu zina life time kwa hiyo itakuwa imefika kikomo cha matumizi na usipoangalia itakufia mkononi mkuu
 
hayo ni majanga ya tecno na mediatek kwa ujumla maana hizi simu zina life time kwa hiyo itakuwa imefika kikomo cha matumizi na usipoangalia itakufia mkononi mkuu
Ni LIFE SPAN mkuu...
 
Back
Top Bottom