Techno d1 inamatatizo ya mtandao

Mi natumia tecno m3 since October last year na haina shida,wife ana s3 imekufa screen...na tumenunua December, pamoja na kuitunza sana!
 
Haya snipa umeshinda maana... Umefikia hatua ambapo unaanza kutukana bila hoja

Kwa mtizamo wako mkuu !
Ila naomba uache kuponda ponda vitu bila sababu ya msingi !

RG haya ingia pale chini basi Kaangalie Samsung Galaxy S4 Zinawaka Moto zenyewe tu ! Mwingine akiwa ana charge !

Mwingine ikiwa Mfukoni ! Kweli ni simu hizo mkuu? (jijibu moyoni) simu inaripuka moto yenyewe ?

Ingia Hapa ====> Galaxy S4 Catching Fire a massage to samsung

Usiku mwema !
 
fact nani anayotechno D1 jaman haitingi vizu upande wa laini maana mm nasafir nilikua dar nikaja dom pia mwanza na bukoba lakin mtandao mpk mjn kat ukitka nje kdg ya mj hamna kitu techno kwenye hili ni mambululaaaaa
 
Mkuu nina ndugu yangu anayo na tunaonana mara kwa mara huwa anaisifia sana D1 yake. Sijawahi kusikia analalamika mtandao. Kwani simu yako una muda gani tangu umenunua?
 
Kweli,tecno ni simu mbovu sana. Kuna ndg yangu hapa kanunua phantom a haina hata mwezi leo imemzingua,hapokei sim,hasomi txt kisha inaandika "internal error" toka asubuhi. Hizi simu sio nzuri.

tehe tehe
 
Naihitaji sana hiyo Tecno D1, ntaipata wapi na kwa bei gani? Mwenye direction ani-PM.
 
Jamani ndugu zangumsinunue simu hizi zinatatizo la kimtandao kwa kiasi kikubwa

Nilishasemaga inabidi JF kuwepo na jukwaa la simu haswa hizi Techno, maana kila siku ni matatizo ya Techo na Huawei sijawi sikia mtu analalamika kuhusu Nokia.
 
yaan cm znasumbua ka nn wamedantia teknolojia
 
utaipata kwangu we upo mji gani na sura na umbo lake ni zuri ila mtandao
 
Mwambie huyo Na kaka yake RGforever

kwanza Aliyeleta Thread hii ni Mnafiki !
Mnafiki + Mnafiki = Pumba

Maisha Mtelezo

snipa

alafu nashindwa kuelewa baadhi ya wadau, unakuta wanapakaza mbovu bidhaa flani wakati hawajawahi hata kuitumia...bora kitu kama hukijui ubaki kuwasikiliza wanaokitumia vile wanavyofaidi, nami niliichukulia poa Tecno kutokana na maneno ya hapa, lakin baada ya kuitumia..nina jeuri ya kuwaona samsung wezi!
 
Last edited by a moderator:

Waambieni bwana suala sio ubovu wala aina ya bidhaa ni uwezo wako pia wengi wanakimbilia kununua simu za bei kubwa lakini wanavuruga setting za simu halafu wanaanza kulalama mfano kuna kaka jirani yangu kauziwa Samsung Galaxy Note 3 ameshindwa kilasiku nikuomba kumrekebishia setting. Mtu anaweka airplane mode halafu anasema simu haina network.
 
Haya masuala ya kupendeza etc kisa brand za simu sio issue nzuri hata kidogo, tuheshimu chagua la mtu bhana, hivi kila mtu angekuwa anaoa mwanamke nzuri wa sura we unafikiri wabaya wa sura wangeolewa na nani, kipendacho roho................................
 


Sahihi kabisa mkuu !
.
Mwisho wa siku kila mtu afuate njia yake kulingana na mapenzi yake !

:msela:
 
Mkuu nina ndugu yangu anayo na tunaonana mara kwa mara huwa anaisifia sana D1 yake. Sijawahi kusikia analalamika mtandao. Kwani simu yako una muda gani tangu umenunua?

yaani hata miez mitatu sina ila nairudisha inawarrant iende iliptka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…