Techno d1 inamatatizo ya mtandao

aleez

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
46
Reaction score
7
Jamani ndugu zangumsinunue simu hizi zinatatizo la kimtandao kwa kiasi kikubwa
 
Ngoja mtetezi aje snipa


Keep Knocking!
You won't Kick me Down !

Talking like me ? Yes you Can !
Wearing like me ? Yes you can !
Writing like me? Yes you can !
Thinking like me ? Are you Serious ?
Being like me ? You must be Joking !


Umechelewa RGforever
 
Last edited by a moderator:
Keep Knocking!
You won't Kick me Down !

Talking like me ? Yes you Can !
Wearing like me ? Yes you can !
Writing like me? Yes you can !
Thinking like me ? Are you Serious ?
Being like me ? You must be Joking !


Umechelewa RGforever

Hahh snipa bhana Kisa Tecno.. maneno yote hayo utadhani tunagombania Hisa au Dili la maana..

Mleta mada amesema Hizo Tecno D1 watu wasinunue Maan zina matatizo ya Network .. Sasa unawasaidiaj watu wa Tecno. AU WAENDE KWA MA DEALERS. sijui km kuna vibanda vya hawa watu
 
Last edited by a moderator:
:atakae inunua bhasi awe na nokia tochi pembeni maana nipo mbezi now naenda dom ila nikifika mlandizi sina cha net wala mtandao shame on this device
 


Katika maisha yangu kinacho niudhigi !
Ni mtu kuponda watumiavyo wengine bila sababu ya msingi !

Either kutokana na hoax tu za watu na yeye kuiga, au kutokana na feelings zake tu binafsi !

Bila kuwa na sababu zozote anazowezza kuzisimamia na akaeleweka !

:focus:

Aliye anzisha thread ataeleweka na wenye fikra fupi fupi kama wewe

hata mimi naweza XPERIA sio simu za kununua kisa yakwangu inazingua !

Lakini ni sababu ya kitoto wangapi wamelalamikia ! Na kwanini iwe mimi !

Tusipende tu ku assume assume vitu kirahisi na kuanza kuwaponda TECNO damn all kids !

Nasisitiza Tenda unachopenda kutendewa !

:closed_2:
 
Ukishajua ni Thread ngapi kila Mara za watu wa Tecno zinaletwa humu na Matatizo kibao halafu bado unasema Hazina matatizo. Jipange upya

Sijaponda mtu kuwa anatumia Tecno ila lazima Mtu wa Tecno Ajue kuwa hawezi fananisha simu yake na High quality phone ambazo watu wanatuliza akili zao na kufanya research kibao ili watoe kitu chenye ubora. Halafu anakuja ku compare Pantom na S4

Ngoja nikuambie kitu na Mjadala uishe sitaki ubishi sana na wewe endelea kuwatia moyo watu hao ambaye anatumia Tecno Pantom halafu akili inatumia S4

HAKUNA KAMPUNI ITAKAYO TUMIA GHARAMA KUBWA KWENYE TECHNOLOGIA NA MATERIAL HALAFU IKAKUUZIA SIMU KWA BEI NAFUU

LOW COST ON MATERIALS=POOR QUALITY PRODUCTS

Kwahiyo unapokuwa unatetea basi tetea kwa Level yao si kwa kufananisha LAMBOGINI na NOAH halafu useme zote zinapiga mziki zinamatairi manne
Utachekwa

OVER
 
Jamani ndugu zangumsinunue simu hizi zinatatizo la kimtandao kwa kiasi kikubwa

mmm. hili tatizo ni lako mwenyewe, angalia upo maeneo gani na unatumia mtandao gani.. ikikushinda hama tecno.

Ni ushauri tuu!!!
 
mi mbona natumia ya lain 2 , nina mwaka sasa inapiga kazi pori lolote lile
we una matati= yako binafsi na hiyo simu yako
 
Ukishajua ni Thread ngapi kila Mara za watu wa Tecno zinaletwa humu na Matatizo kibao halafu bado unasema Hazina matatizo.

Una uhakika ni TECNO tu? Matatizo mangapi yameletwa humu na hizo simu unazo zisifia wewe?

Jipange upya
Sina haja yakujipanga ! Ntaendelea kukujibu kulingana na hoja zako !

Sijaponda mtu kuwa anatumia Tecno ila lazima Mtu wa Tecno Ajue kuwa hawezi fananisha simu yake na High quality phone

Nani kalinganisha ? Afu we hautumii kinachokuuma wewe ni nini?

ambazo watu wanatuliza akili zao na kufanya research kibao ili watoe kitu chenye ubora. Halafu anakuja ku compare Pantom na S4

Kaangalia Mission ya TECNO ndomana hawakuwa na wazo la kwenda ! Ulaya ! Na wakafocus Africa !

Ngoja nikuambie kitu na Mjadala uishe sitaki ubishi sana na wewe endelea kuwatia moyo watu hao ambaye anatumia Tecno Pantom halafu akili inatumia S4

Unachokiwaza wewe ni Ubishi tu na sio hoja za msingi !

HAKUNA KAMPUNI ITAKAYO TUMIA GHARAMA KUBWA KWENYE TECHNOLOGIA NA MATERIAL HALAFU IKAKUUZIA SIMU KWA BEI NAFUU

LOW COST ON MATERIALS=POOR QUALITY PRODUCTS

Hakuna aliebisha !

Kwahiyo unapokuwa unatetea basi tetea kwa Level yao si kwa kufananisha LAMBOGINI na NOAH halafu useme zote zinapiga mziki zinamatairi manne
Utachekwa

Fact ya kitoto hii !


Nimesema pale juu Huyu Dodger aliyeleta Thread hii ataeleweka na wenye fikra fupi kama wewe !

snipa
 
Last edited by a moderator:
mi mbona natumia ya lain 2 , nina mwaka sasa inapiga kazi pori lolote lile
we una matatizo yako binafsi na hiyo simu yako


Mwambie huyo Na kaka yake RGforever

kwanza Aliyeleta Thread hii ni Mnafiki !
Mnafiki + Mnafiki = Pumba

Maisha Mtelezo

snipa
 
Last edited by a moderator:
Jamani ndugu zangumsinunue simu hizi zinatatizo la kimtandao kwa kiasi kikubwa

Kweli,tecno ni simu mbovu sana. Kuna ndg yangu hapa kanunua phantom a haina hata mwezi leo imemzingua,hapokei sim,hasomi txt kisha inaandika "internal error" toka asubuhi. Hizi simu sio nzuri.
 
Haya snipa umeshinda maana... Umefikia hatua ambapo unaanza kutukana bila hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…