Technical explanation on Concentrate Ban from ACACIA Chief Operating Officer

Who advised you to post on Jf? Osolo commitee mentioned other element out of Gold , copper and silver you say. So tell us your know how?

Bwana ataongoza safari
 
View attachment 494149
I agree wholeheartedly with his actions as a President, but appointing a second committee to conduct an investigation into the mineral content of impounded copper concentrate [metallurgical accounting assessment] is nothing without considering the legislative framework of Tanzania's laws governing the mining industry.

We need the constitutional reform agenda on a mining legal framework. This has to be due to some sort of corruption in the past governments.
Poor guy . You still in polical dialogue,
The answers of the revenue and profits that Acacia Mining is earning can be seen in the financial reports in the Acacia website. The bottom line and painful truth is that the company in UK is one office. They own 3 mines in Tanzania. ALL THEIR REVENUE COMES FROM TANZANIA.
Here, in our country, they claim big losses.
There, in the UK, the office people make hundreds of MILLIONS of US Dollars profit.
Who can explain that?
This man, Mark Morcombe, cannot explain.
Acacia Mining are GUILTY of PRICE TRANSFERRING.
President Magufuli will prove this to the world. Then Acacia bosses will come to the table and bring money to fix these crimes.

Bwana ataongoza safari
 
Acacia facts behind the TANZANIAN Export ban
Acacia is a law abiding company that has always declared all materials it has produced and paid all royalties and taxes that are due.

Under our agreements with the Tanzanian Government, our mines are permitted to sell their fully declared gold/copper concentrate products to overseas customers and to export the concentrates in containers, and they are in full compliance with the agreements and our export permits. Since March 3rd 2017 an export ban has been imposed on gold/copper concentrate exports which impacts around 50% of our combined production at Bulyanhulu and Buzwagi.

Acacia has also called for an independent review of the recent First and Second Presidential Committee reports that generated, in our view, inaccurate and unexplainable findings and allegations. Acacia strongly refutes these unfounded accusations. We have always conducted our business to the highest standards and operated in full compliance with Tanzanian law. In addition, our published accounts are annually audited to an international standard in accordance with IFRS.

Acacia has been operating in Tanzania for nearly 20 years with three gold producing mines, Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara, all located in the north-west region of the country.

During that time, Acacia has contributed significantly to the national and local economy, establishing itself as the largest investor and employer in Tanzania.

The continuation of the export ban will not only hurt Acacia’s ability to conduct future business in the country, but will directly and negatively affect the lives of thousands of Tanzanians. The security of the 36,200 indirect and induced jobs that rely on Acacia’s mining operations, as well as the company’s ability to invest in education, infrastructure and health projects will all be under threat.

As a company, we are and always have been committed to acting responsibly towards the people of Tanzania, their environment and their communities. This sits at the heart of our culture as a foreign company investing in Tanzania. Foreign investment and the private sector plays an important role in the economic advancement of Tanzania and we ask that the people of Tanzania’s economic future is not put at risk.

On 16 June Acacia announced that Barrick and the Government of Tanzania agreed to enter into discussions in order to reach a mutually acceptable solution to the issues relating to the ban on the export of gold/copper concentrates as well as the future framework for Acacia’s operations in Tanzania.

On 29 June 2017 the Government of Tanzania announced the publication of draft legislation which recommended changes to the legal framework governing the natural resources sector in Tanzania. In addition to this Parliament has approved the new Finance Act, which will impose a 1% clearing fee on the value of all minerals exported from the country from the 1st July 2017.

New legislation was urgently passed by the Parliament in Tanzania on 3 July 2017 completely altering the legal and regulatory regime that had attracted FDI in the entire resources sector to date. The legislation is expected to become law in early July.

On 4 July 2017 Acacia announced that Notices of Arbitration were served in Tanzania on behalf of Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”), the owner of the Bulyanhulu mine, and Pangea Minerals Limited (“PML”), the owner of the Buzwagi mine.

Seems you are a missionary Better be NAILED

Bwana ataongoza safari
 
It's not all about laws, it's obligatory that if companies want to be more ethical and sustainable to the society. It comes from demand of society for benefits from existence of the business, so they implement Corporate Social Responsibility in order to keep profits, growth and good relationship with society.
Being obligatory, who audits the local, national and international standards (quantitatively & qualitatively against the demand)?
 
No auditing! In Swahili we can call it "huduma kwa jamii" or something like that. Basically, it just another charity tool from which not only shareholders benefit but also stakeholder groups such as employees, customers and others.

Since there are many companies appearing to engage in CSR is mostly used for ulterior motives, CEOs looking like nice kind people whilst not actually acting ethically at all basically leading to a society that fools people and inflates profit illegitimately. A good example would be Acacia and its Graduates Development Program.
I know it is 'huduma kwa jamii'. Nonetheless, there must adhere to either humanitarian or International Finance Standards or Resettlement Action Plan criteria which calls for locals or natives to be promoted to a better life than it was before the commencement of the project.
That is to say, it is not a charity. It is an obligation, internationally. That is why I wanted to know, who audits the acquired commitments in CSR? Otherwise the project might close living the concerned community poorer that before!
Take heed and Cheers!
 
Disputed Tax Assessments claimed by Acacia

On 24 July, Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”) and Pangea Minerals Limited (“PML”), the owners and operators of the Bulyanhulu and Buzwagi mines, respectively, received a series of Notices of Adjusted Assessment (the “Assessments”) from the Tanzania Revenue Authority (“TRA”) for historical corporate income tax, covering the periods 2000 to 2017 for BMGL and 2007 to 2017 for PML. The Assessments were issued in respect of alleged under-declared export revenues, and appear to follow on from the findings of the First Presidential Committee announced on 24 May 2017 and the Second Presidential Committee announced on 12 June 2017. As we have stated previously, Acacia refutes each set of findings and re-iterates that it has fully declared all revenues. We have yet to receive copies of the reports issued by the First and Second Presidential Committees. The allegations made by the First and Second Committee are included in the matters that both BGML and PML have already referred to international arbitration

The Assessments assert that BGML owes the Government a total of approximately US$154 billion, and PML approximately US$36 billion. The Assessments claim a total of approximately US$40 billion of alleged unpaid taxes and approximately US$150 billion of penalties and interest owed. Acacia disputes these assessments. The Company is considering all of its options and rights and will provide a further update in due course.

To put the amount that Acacia purportedly owes (US$190 billion) into context:

It is the equivalent to 424 trillion Tanzanian shillings.

It is more than ten times the amount that all the Top 5 global gold miners combined have paid in taxes since 2000.

It is 5 times bigger than the total annual sales of the biggest 10 gold companies in the world combined.

It is over 30 times the total revenue that has been generated by Bulyanhulu and Buzwagi since their inception.

It is over 200 times Acacia’s market value (as at 25 July 2017).

It is over 1,000 times greater than the total amount of cash that Acacia has in the bank (as at 30 June 2017).

It is 4 times the entire GDP of Tanzania 2016.

It is greater than the annual GDP of 140 of the 191 countries in the world, according to the International Monetary Fund’s statistics from 2016.

Ndugu Masunga what you are saying, writing and quoting is VERY TRUE! First and foremost it is very true because of the source or sources that you are quoting, they can be part and parcel of "our culprits" or they can be on our "culprits" pay list paid to say and write anything for and on their behalf! Secondly, all the figures that you are quoting and saying that the money that we are demanding is far, far bigger than all that you are showing in (emoji 17), is because of their art of UNDER INVOICING or UNDER ESTIMATIONS plus all other ways of trying to hide the truth as much as they can. All ACACIA Accounts, we know, are done and calculated from their office in South Africa, who, I am asking, who can know the truth as far as their accounts are concerned, let alone the amount of money in their bank account! Thirdly, let me conclude by saying that we should know that we owe ACACIA is the amount of money that was due to us (I do not want to say is the money that was stolen from us) for the past seventeen years! Time factor is very crucial and important here!
 
Do you mean to tell us that they have two different entry books? One for actual and another for fake / false entries?
Jeez!
 
Tanzanian aircraft seized in Canada, Barrick and its daughter company [Acacia] are also from Canada!

It's hard for simple minded people to see clearly but this isn't a small war, a big war. So we have to fight, a big fight for our nation!

Though some of us [Tanzanians] are puppets sellouts, we should be together as one and that's what we want as nation.

To be honest, mark the difference between Barrick / Acacia saga and the really cause for the seizing of the Tanzania Aircraft. Put the story right, please!
 
Do you mean to tell us that they have two different entry books? One for actual and another for fake / false entries?
Jeez!
Yes that is exactly what I meant and that is EXACTLY what they do as a way of underestimating their incomes or collections from the sale of gold or makanikia or our tanzanite; worse still, there are some sales that are not recorded any where especially from different loads of gold or tanzanite which are flown directly from mines and mining premises without our knowledge or noticing.
 
You should believe only what your eyes, ears and instincts tell you and sometimes ignore the press and political brokers.

Here are some useful comments to use in argumentation which have been presented to by our fellow JF member, Kanyunyu

Hebu tufikiri pamoja:-

●Hukumu ya kushikilia Mali zote za Serikali ya Tanzania ktk Nchi hususani ya Canada ilitolewa Dec-2009/June 2010. NB, hakuna Mali yoyote kwa kipindi chote hiko iliowahi kushikiliwa kwa amri hiyo ya Mahakama hadi juzi.

●Mwaka 2016 mwanzoni Tanzania imefanya order ya kutengenezewa Ndege na Kampuni ya Bombadier Q400 ya Nchini Canada na September Ndege mbili zikakamilika na kurejea Nchini. Kumbuka amri ya Mahakama ilikwisha tolewa tayari iko kazini lkn Ndege hizo hazikushikiliwa.

●March 2017 Serikali ya Tanzania ikazuia Makontena 262 ya Mchanga wa dhahabu almaarufu Makinikia yanayomilikiwa na Kampuni ya Accacia (Barrick) ya Nchini Canada.

●May na June 2017, Serikali ya Tanzania ikatafakari kupitia riport za Uchunguzi wa shughuli za Madini Nchini juu ya uhalali wa uwekezaji, ulipaji Kodi na Mirahabaya Madini inayofanywa na Kampuni za Barrick na kuona dosari za kisheria na hujuma mbalimbali za Kiuchumi. July zikapitishwa Sheria kudhibiti Biashara ya madini.

● July 2017, Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA ikaifikishia Accacia-Barrick ya Canada notice ya kuidai Tsh. Trion 425 kutokana na malimbikizo ya Kodi.

●July Serikali ya Canada kupitia Kampuni ya Stelling Civil Eng. Ltd ikaishikilia Ndege ya Serikali ya Tanzania kutokana na amri ya Mahakama iliyotolewa Dec 2009/ June 2010.
It is not that I don't get the point but that: the issue is more maxims and aphorisms based than the clarity in the first case. It is very unfortunate that my ears and eyes are not omnipotent to absorb and observe everything. We need to use other sources of communication, at some point and time, to verify things and issues beyond myths.
To make the story short, I agree with you on the fact that there could be some connection in line with the above narration to the aircraft episode!
Cheers and take it!
 
The imperialistic sections of the west do not want true Pan Africanism! They want to see our downfall, provide aid and discuss us on international panels.

They have their own version of fairness and truth concerning TANZANIA and AFRICA at large.

They are still in the same game since colonialism by means of massive resource extraction from the country for loans that have exorbitant interest rates.

Take another look here, a useful post from Boniphace Maiga

TUKITENGANISHA MAGUGU NA NGANO TUTAONGEA LUGHA MOJA.

Kwa takribani siku tatu taarifa ya kushikiliwa kwa Ndege yetu aina ya Bombardier Q 400 huko nchini Canada imekuwa na mjadala mpana kiasi cha kusababisha sisi tunaopenda kupitia maandiko (Literature review) kuingia maktaba na kuanza kuyapitia na kuyapembua.

Kwanza nilianza kujiuliza je, Ni kweli nchi yetu inadaiwa kwa kuvunja mkataba wa ujenzi Wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo?

Jibu Ni ndiyo Serikali iliingia mkataba Wa kandarasi ya ujenzi Wa kujenga barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo yenye urefu Wa kilomita 45 na kampuni ya lmpresa Ing. Fortunato Federici(IFF) kupitia mkataba namba 10050/98/99.

Baada ya mkataba huo kampuni ilianza ujenzi,kwa bahati mbaya Ujenzi wa barabara hiyo haukufikia viwango, hivyo kulazimu mwenye kutoa kandarasi ( serikali)kuhoji 'value for money' baada ya kampuni ya IFF Kushindwa kutoa majibu ya kuridhisha ilisimamishwa kuendelea na ujenzi huo usiokidhi vigezo vilivyoanishwa mwaka 2009.

Baada ya kusimamishwa Wakakimbilia Mahakamani, mahakama ikawapa ushindi na kutoa amri ya kulipwa Dec2009/June 2010, Hata walivyokwenda kwenye mahakama za usuluhishi jambo hilo liliendelea kubaki hivyo hivyo,

Kwa upande wa Serikali yetu iliendelea kushikiria msimamo kwamba kampuni hiyo haikustahili kulipwa kutokana na kushindwa kufanya kazi kwa mujibu wa mkataba.

Tukumbuke haya yote yalifanyika Serikali ya awamu ya tano ikiwa bado haijaingia madarakani,na wala RAIS Wa sasa Dkt.Magufuli alikuwa Si Waziri mwenye dhamana ya ujenzi.

Na kwa kipindi hicho chote tangu mwaka 2009 madai haya yalikuwepo na yalikuwa yakifahamika vyema .

Nini kimetokea?

Kama tutakumbuka vizuri RAIS wetu Dkt.Magufuli ametangaza rasmi VITA YA KIUCHUMI baada ya kupokea ripoti ya pili ya uchunguzi Wa kisheria na kiuchumi kuhusiana na mchanga Wa Madini unaosafirishwa nje ya nchi iliyowasilishwa tarehe 12.06.2017 ,

Vita hii pamoja na kugusa maeneo mengine ,sehemu kubwa imegusa kampuni ya uchimbaji Madini ya BARRICK na washirika wake ACCACIA zenye Makao makuu Canada.

Kama tunavyojua baada ya kuundwa tume ya kuchunguza hasara,aina za Madini na taratibu za kisheria kama zinazingatiwa,ilibainika kuwa kulikuwa na Madini yanayofikia zaidi ya saba yalikuwa yakitoroshwa ,kulikuwa na ukwepaji kodi mkubwa tu pamoja na malimbikizo yake ambayo tayari TRA ilishawapelekea demand notes. Na wanapaswa kulipa.

Baada ya kuwekwa bayana wadeni wetu wameamua kwa makusudi kabisa kutumia mbinu inaitwa kitaalam ice breaker ( kuvunja ukimya) kwa kupitia mawakala wao.

Na kwa bahati mbaya wamelianzisha vibaya kwa maana ifuatayo, kwanza kampuni Ya (Stirling Engeneering) hawakuwahi kufanya kazi na Tanzania, badala yake hawa mabepari Wa cannada wanataka kufanya kama yale ya Escrow na IPTL au yale ya Richmond na Dowans.

Ukirejelea huko mwanzo nimefafanua vyema kuwa Aliyefanya kazi na Serikali ya Tanzania anaitwa Impresa Ing. Fortunato Federici kupitia mkataba namba 10050/98/99.

Mdeni wa Tanzania ni IFF ya Italy, ila sasa anayedai ni kampuni kutoka UK! hapa utashangaa kidogo lakini kigezo anachotumia Anadai kwamba yeye ame acquire mali na madeni ya IFF, inaweza kuwa kweli, lakini ukipitia nyaraka na kumbukumbu mbalimbali hakuna taarifa rasmi kutoka IFF kwamba amekuwa acquired?

Jambo jingine tumemsikia naibu msemaji wa Serikali amesema Kuna uhusika Wa wanasiasa , nadhani inatokana na kwamba mwakilishi wa hiyo kampuni iliyodandia (Stirling) ni Advocates company ambayo ipo Hapa nchini ambayo Managing Partner Wao ni wanachama wa Chadema.

Hata hivyo inaonesha Baada ya mashauriano ya muda mrefu kati ya IFF na Serikali ,na kama inavyojulikana kampuni huanzishwa na hatimaye hufa. Kampuni ya IFF ikafa huku Tanzania ikiwa haijapatiwa taarifa rasmi za huyo mdai wa sasa (Stirling Engineering) ambaye anaonekana ndiye amenunua mali na madeni ya IFF.Kimsingi hawapaswi kutudai hili linafahamika vyema na hata Canada inajua sema ndio hivyo tuko vitani na Ndege tunatengenezea kwao.

Kwa mujibu wa nyalaka Hao wadeni wa sasa wamesajili hiyo award ya Mahakama nchini Uganda, Ufaransa, Canada na Uingereza.

Sasa ukipitia mlolongo huo utangundua kwamba vita ya kiuchumi baina ya Tanzania na Canada imefikia mahali ambapo Canada wanataka kuitishia Serikali ya Tanzania ili ikishtuka tu wao waweze Ku win(kushinda) kitu ambacho naamini kwa sasa Ni ngumu sana.

Pili inaonekana wamebanwa kwa kiwango cha juu kiasi cha kutumia mbinu ya Ku spoil water hasa kwa kuwatumia watu ambao wanaweza kusema na kuzua mjadala nchi nzima,tukumbuke Hawa mabepari hutumia siraha zifuatazo kuhakikisha wanashinda vita ya kiuchumi ,hutumia Rushwa,hutumia propaganda za vitisho,hutumia watu maarufu kwenye nchi au Eneo husika ili kujenga hofu kwa wengine na wakishindwa hutumia mbinu ya kuchonganisha ili kuzua ugomvi kwa kuwaahidi watakaowaunga mkono Mali na vyeo hata wengine huahidiwa kupewa madaraka ya nchi pale vita vikizuka ili kuiondoa Serikali madarakani.

Kwa Bahati nzuri hivi sasa watanzania walio wengi tupo imara tumeelewa lengo na nia ya dhati ya Serikali hii ya awamu ya tano ya kupambana na wahujumu uchumi na wapinga maendeleo Wa aina yoyote wawe waafrika wenzetu au wazungu au Wa rangi yeyote kama nchi iko tayari kupambana nao

Mwisho lakini Si kwa umuhimu Ni kuwakumbusha tu watanzania wenzangu hasa vijana nchi yetu ipo vitani tena vita ya kiuchumi ,maadui zetu wanaweza tumia mbinu zote ikiwemo divide and rule,tusikubali hili litokee tusimame upande Wa nchi ,tusimame upande Wa rasilimali zetu ,tusimame na Rais wetu Magufuli.
Nakubaliana na wewe nadhani na wengine wenye kusitasita kulielewa hili sasa watalielewa kwa namna ulivyoliwasilisha kwa lugha nyepesi na kwa ustaarabu wa kitanzania. Asante sana na keep it up.
 
Ume

Umejizungusha weee!!!!Lakini lengo lako ni kumnanga Tundu Lissu,kama wewe ni muelewa basi jibuni hoja zake siyo kubwabwaja tu kwa kisingizio cha vita vya kiuchumi,kwa maana hiyo mnatakiwa kufuata sharia siyo kukurupuka na kuvunja mikataba kienyeji,hilo ni deni na dawa ya deni ni kulipa siyo kubwabwaja hapa.Kutokuwepo Magufuli wakati mnavunja mikataba hiyo isiwe sababu ya kutokudaiwa maana waliovunja mikataba hiyo ni serikali hii hii ya MAGAMBA ambayo kipindi kile ilikuwepo na mpaka sasa hivi ndiyo ipo hivyo achene kulalama ovyo lipeni pesa ya watu labda hapo mtajua ubaya wa kukurupuka.ACHENI VISINGIZIO!!!!
 
Thanks a million for a constructive and comprehensive narration. Ahsante sana.
By the way, are these whistle blowers aware of this? And if yes, let them shy!
 
You should believe only what your eyes, ears and instincts tell you and sometimes ignore the press and political brokers.

Here are some useful comments to use in an argumentation which have been presented to by our fellow JF member, Kanyunyu

Hebu tufikiri pamoja:-

●Hukumu ya kushikilia Mali zote za Serikali ya Tanzania ktk Nchi hususani ya Canada ilitolewa Dec-2009/June 2010. NB, hakuna Mali yoyote kwa kipindi chote hiko iliowahi kushikiliwa kwa amri hiyo ya Mahakama hadi juzi.

●Mwaka 2016 mwanzoni Tanzania imefanya order ya kutengenezewa Ndege na Kampuni ya Bombadier Q400 ya Nchini Canada na September Ndege mbili zikakamilika na kurejea Nchini. Kumbuka amri ya Mahakama ilikwisha tolewa tayari iko kazini lkn Ndege hizo hazikushikiliwa.

●March 2017 Serikali ya Tanzania ikazuia Makontena 262 ya Mchanga wa dhahabu almaarufu Makinikia yanayomilikiwa na Kampuni ya Accacia (Barrick) ya Nchini Canada.

●May na June 2017, Serikali ya Tanzania ikatafakari kupitia riport za Uchunguzi wa shughuli za Madini Nchini juu ya uhalali wa uwekezaji, ulipaji Kodi na Mirahabaya Madini inayofanywa na Kampuni za Barrick na kuona dosari za kisheria na hujuma mbalimbali za Kiuchumi. July zikapitishwa Sheria kudhibiti Biashara ya madini.

● July 2017, Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA ikaifikishia Accacia-Barrick ya Canada notice ya kuidai Tsh. Trion 425 kutokana na malimbikizo ya Kodi.

●July Serikali ya Canada kupitia Kampuni ya Stelling Civil Eng. Ltd ikaishikilia Ndege ya Serikali ya Tanzania kutokana na amri ya Mahakama iliyotolewa Dec 2009/ June 2010.
Lame excuses lipeni madeni ya watu
 
Walete hizo data kwenye meza ya mazungumzo, mbona wanakimbilia media? Serikali inazo data zao zote, containers bado zipo pale, list za ulipaji wao wa kodi zipo! Data za containers zilizosafirishwa zipo, data zao mauzo ya dhahabu kidunia za nyuma namna walivyokuwa wanawapa gawio wanahisa wao na sifa kemkem za kupata faida zipo, declaration za wao kupata hasara wakiiambia serikali zipo, sasa si waje, mbona propaganda nyingi? Magu alikubali mazungumzo sasa tatizo nini? Wanataka kuiaminisha dunia nini? Sasa si waje na data.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa ndani nao walikula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume

Umejizungusha weee!!!!Lakini lengo lako ni kumnanga Tundu Lissu,kama wewe ni muelewa basi jibuni hoja zake siyo kubwabwaja tu kwa kisingizio cha vita vya kiuchumi,kwa maana hiyo mnatakiwa kufuata sharia siyo kukurupuka na kuvunja mikataba kienyeji,hilo ni deni na dawa ya deni ni kulipa siyo kubwabwaja hapa.Kutokuwepo Magufuli wakati mnavunja mikataba hiyo isiwe sababu ya kutokudaiwa maana waliovunja mikataba hiyo ni serikali hii hii ya MAGAMBA ambayo kipindi kile ilikuwepo na mpaka sasa hivi ndiyo ipo hivyo achene kulalama ovyo lipeni pesa ya watu labda hapo mtajua ubaya wa kukurupuka.ACHENI VISINGIZIO!!!!
Kulipa watalipa (akina nani?) bila shaka na kwa kutumia pesa zao (au za wananchi?)
 
Back
Top Bottom