Kuna vitu viwili hapo1.Simu yako yawezekana ina uwezo mdogo wa kudownload yaani pengine simu yako natumia EDGE badala ya Kutumia 3G. kama inatumia 3G basi kuna wakati Network huwa inakuwa slow kutokana na eneo ulipo,endapo eneo hilo lina watumiaji wengi wa huduma ya internet kwa wakati huo inaweza ikawa ni tatizo vilevile la kusababisha buffering kila wakati.2.Inawezekana kabisa mtandao unaoutumia kwa muda huo ukawa una matatizo yake .Nawasilisha