Kama hii View attachment 155366
sio kama hiyo mkuu maana hiyo ni techmate kiongozi kama alivyoainisha mtoa mada na pia ni 10000mAh... jaribu na wewe kuigoogle maana mie nimeigoogle ila bado kufikia maamuzi ndio nangoja michango yenu sambamba na mtoa mada
sijaangalia price yake ila kwa huku Dar nimeona ni shilingi elfu sabiniHutu tududu bhana tunafatana na matumizi yako ila kama hiyo ni 10000mAh kwa matumizi ya kawaida inafaaa huko Google wanaiuza bei gani?
du mbona bei ghali hiyo ya 20000mAh mi nilinunua Tsh 40000/= anyway ngoja tusubiri wengine wakushauri.sijaangalia price yake ila kwa huku Dar nimeona ni shilingi elfu sabini
umenunua wapi hiyo power bank mkuu? Na lini ili na mie nieinde kujaribu? vp uhakika wakw katika matumizi?du mbona bei ghali hiyo ya 20000mAh mi nilinunua Tsh 40000/= anyway ngoja tusubiri wengine wakushauri.
huwez jua ubora wake hadi utumie mi siwez toa comment hapo sababu huwa hakuna specification halisi za ubora wa cell zilizotumika.
Mie yangu inajaza Huawei 525 tu,ila galaxy note haijazi
battery ya huawei yako ni 1700mah wakati note ni zaidi ya 3000mah.
hapo kuna mambo mawili either power bank yako ina mah chache (yani chini ya 3000mah za galaxy note) hapa utajua kama inachaji note nusu tu.
kama haichaji kabisa au inachaji kipole pole ujue ina ampere chache hivyo umeme hautoki kwa wingi
Sina technical detail lakini naskia matumizi ya mara kwa mara ya power bank yanaharibu afya ya betri. Madhara ya haraka kwa simu zenye betri zinazotoka kama samsung, LG, tecno etc ni kuvimba kwa betri na kuua IC ya simu. Pili, power bank zenye mAh kubwa e.g. 20,000 kwa bei ndogo unatakiwa uziogope sana. Mfano power bank ya brand ya kueleweka kama Pisen ya10,000mAh zinarange kati ya elfu 70 na 90, halafu ya 20,000 iwe cheap zaidi kuwa makini sana.