Tears Everywhere!

Tears Everywhere!

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,366
Reaction score
3,687
Katika pita pita zangu kwenye viunga vya mitandao ya kijamii Twitter, JF, Instagram n.k. kuna namna kifo cha Mzee wetu Khamenei kimewachanganya akili vibaya mno, hasa wale wenzangu wa imani. Mihemko, hisia kali, na wengine wanatoa maoni na kuandika mambo ya kuchekesha na kusikitisha. Kifo hiki cha Khamenei kimewagawa Waafrika kuliko hata Wairan wenyewe; inashangaza.

Mimi niseme: aliyekuzidi kakuzidi, ukifurukuta kwa mihemko bila akili tu utachapika. Hapa ni kurudi kwenye drawing table na kujipanga upya, hamna namna. Akili zitumike, tuondoe hasira.

Tears everywhere.
 
90813.jpg
 
1000358654.jpg
 
Fafanua imewagawaje waafrika?
 
Wairani walimchukulia kama mtawala wao lakini waislamu washia walimuona kama kiongozi wao mkuu no 2.
Jamhuri yake ya kiislamu imeua sana watu. Ilishaonekana kwamba zaidi ya 70% ya wairan walitaka atoke na waliridhia msaada kutoka nje.

Sidhani kama hao washia walifurahia ndugu zao kuuawa, na sidhani kama hapa bongo kuna washia wengi kihivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom