Tunawashukuru wote walioshiriki kwenye chaguzi za serikali za mitaa, kura zenu ni heshima kubwa sana. Tunashukuru wapiga kura wote walioshiriki bila kujali vyama vyao.
#TEAM SAME MASHARIKI 2015 CDM; Ushindi ni lazima, nawakaribisha wote kuungana nami kuleta ushindi wa heshima same kumwondoa mkoloni CCM.
Bendera, Bombo, Bwambo, Kihurio, Kirangare. maore, Mpinji, Mtii, Myamba, ndungu, Vuje na Vunta tuungane wote kushinda.
Kama una masilahi ya kiuchumi, afya, barabara, elimu, jamii, makazi, tufanye madiliko.
Send message to me.
Fue Fue
Hali imekuwa ni ya furaha sana katika vitongoji vya na kata zote za Same Mashariki. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kujihakikishia ushindi mnono wa 70% jimbo hili.
Hamasa ipo juu na wapiga kura wameiva vilivyo. Tumepiga Mbiru na Mbiru imesikika vilivyo.
Ili kukamilisha zoezi hili la heshima na kutukuka, kila mwana Same popote alipo Tanzania na duniani anatakiwa aseme -CDM kwa maendeleo ya Same.
Bye Bye CCM Bye Bye mafisadi
Kutoka Same Mahariki
Much as i support changes, naona kama this is going overboardHali imekuwa ni ya furaha sana katika vitongoji vya na kata zote za Same Mashariki. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kujihakikishia ushindi mnono wa 70% jimbo hili.
Hamasa ipo juu na wapiga kura wameiva vilivyo. Tumepiga Mbiru na Mbiru imesikika vilivyo.
Ili kukamilisha zoezi hili la heshima na kutukuka, kila mwana Same popote alipo Tanzania na duniani anatakiwa aseme -CDM kwa maendeleo ya Same.
Bye Bye CCM Bye Bye mafisadi
Kutoka Same Mahariki
Hali imekuwa ni ya furaha sana katika vitongoji vya na kata zote za Same Mashariki. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) kujihakikishia ushindi mnono wa 70% jimbo hili.
Hamasa ipo juu na wapiga kura wameiva vilivyo. Tumepiga Mbiru na Mbiru imesikika vilivyo.
Ili kukamilisha zoezi hili la heshima na kutukuka, kila mwana Same popote alipo Tanzania na duniani anatakiwa aseme -CDM kwa maendeleo ya Same.
Bye Bye CCM Bye Bye mafisadi
Kutoka Same Mahariki
Mh...hizi ndoto mbaya.
Safi kabisa kamanda folong'o...ehoie kikore?Tunawashukuru wote walioshiriki kwenye chaguzi za serikali za mitaa, kura zenu ni heshima kubwa sana. Tunashukuru wapiga kura wote walioshiriki bila kujali vyama vyao.