mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,692
Ukupata za Jifunze uelewe?
Ukupata za Jifunze uelewe?
Nilichelewa kuomba,nasikia walikuwa wanashortlist on rolling basisUkupata za Jifunze uelewe?
Kama ukuwa na mtu usingepata wengi wamepigiwa simu na kuanza kazi hizo interview zilikuwa boshen tuNilichelewa kuomba,nasikia walikuwa wanashortlist on rolling basis
Sent from my SM-G610L using JamiiForums mobile app
Duuuh nn sina connection paleKama ukuwa na mtu usingepata wengi wamepigiwa simu na kuanza kazi hizo interview zilikuwa boshen tu
Basi ni heri ukuomba, RTI awampi kazi mtu from nowhere ni watu wa kupeana mapande.
Kumbe daaah mm skujua kabisa.Ndio maana unaweza kuomba nafasi una meet requirements zote lkn huitw interviewBasi ni heri ukuomba, RTI awampi kazi mtu from nowhere ni watu wa kupeana mapande.
Miaka inakimbia, hatimaye mradi unaelekea mwishoni, mashirika yameanza tena kuomba awamu ijayoTupe sababu mkuu maana Chemonics international mwaka jana wamekosa mradi USAID-Arithmetic & Inclusion Education Project wakapewa RTI.