asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Kak unatak vita ...tumia akil ya kusikia na akil zak then pata jibu...
haya ngoja niwe msomaji tu mkuu,,,,,,,,,,,,,
inawezekana mnatumia lugha za kimjini mjini humu...........
Uso wa mbuzi mtaponda sana. Binadam tunatofautiana kama sura yako imeekaa kushoto wee tulia utafute mdada mwenye sura kama yako. Habar ya wadada wazur usiongee kabisaa
am coming baby but i want to loose moregood come zis way , am waiting baby.........
Wazee wa kulelewa.....Aisee katika vitu ambavyo siviangalii kwa mwanaume ni hicho....kama akiwa nacho ni ziada tu lakini awe ametimiza vigezo vingine muhimu...
am coming baby but i want to loose more
no baby , kama umefikia hivyo kwenye picha ,,,,,,,,,,,,,, you are mine , end of discussion nakusubiria..........
Please fanya haraka.