Team handsome

Kazi kweli kweli. Wenye sura nzito wamivamia thread ya Team handsome kama jeshi la vietnam.
 
Khaaaah...Wanaume wenzio wanajisifia kazi wewe unajisifia sura,?

Utakuwa na hormone mchanganyiko sio bureeeeee,

Handsome kitu gani wewe tafuta helaaaa,kama sura inaliwa ndo utambie sasa hivi,
 
Mabw.abwa. Mwanaume unajisifu urembo?
 
Hili nalo ni tangazo la biashara, tofauti na mengine hili halijalipiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…