asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
handsome wote wabovu kitandani.....mnafanya mapenzi kwa kujishika shika aku mie
handsome wote wabovu kitandani.....mnafanya mapenzi kwa kujishika shika aku mie
hao mahandsome ndiyo wapo vipi?
mimi najua hao wanaojishika shika na kujilamba lamba midomo ni masharoharo na vibrazamen..........
Kama wewe ni handsome njoo tushehe uzoefu wetu.
Kama mjuavyo pesa inanunua tendo la ndoa baada ya hapo mwanamke anakuwa ajatosheka ila kwetu sisi wanapata upendo kutokana na mwenekano wetu. Wanawake wanawapapatikia wenye magari kwa sababu ya pesa zao tu.
Handsome guys tutaendelea kuiongoza dunia, vizibitisho ni filamu na majarida mbalimbali.
Sasa pindi wakituona watu tunaofanana na walio kwenye filamu na majarida wana tukubali na kututafuta. Wanayafanya yote hayo bila kujali hali ya vipato vyetu.
Kwa hiyo Team handsome kuweni na ujasiri kwa sababu siyo kila kitu pesa inatatua
Zingatia: Wanaweke wengi wanao babaika na magari ni wababaishaji, msichana mwenye mafanikia na anayejitawala anapata mwanaume ampendae.
Team handsome...oyeee!!!!!
Naskia huyu ndo mwenye kiti ..nimeskia tu
Kama naambiwa Leo nioe mwanamke jamii forum nahisi ningekung'ang'ania mpaka nice we mwanamke au Lara moko
I real luv the way u think aisee can't lie
Wa mabwabwa au mahandisamu?naulidha tu
Sura mpelekee mama yako, hapa ni kaz tu..
hao mahandsome ndiyo wapo vipi?
mimi najua hao wanaojishika shika na kujilamba lamba midomo ni masharoharo na vibrazamen..........
Hahaaaa kazi kuwapaka wadada wa watu majasho tu.....
asante karibu sana
mbavu zangu mie! wanaleta madoido badala ya kupiga kaaz!
Naskia huyu ndo mwenye kiti ..nimeskia tu
Ubongo unavyochemka.....hicho kimoja vingine ni kwa matumizi yangu...Vigezo gani?hahahha
Heheheh ngoja niongee na Mzee wako mtafiti kwanza
ndiyo hao hao mkuuu
ha ha ha
really??